Connect with us

?Millionaire Mindset Training?

USIISHIE NJIANI

?Millionaire Mindset Training?

?Millionaire Mindset Training?“You are where you are and what you are because of yourself.Everything you are today, or ever will be in the future, is up to you. Your life todayis the sum total result of your choices, decisions and actions up to this point. Youcan create your own future by changing your behaviors. You […]

?Millionaire Mindset Training?
“You are where you are and what you are because of yourself.
Everything you are today, or ever will be in the future, is up to you. Your life today
is the sum total result of your choices, decisions and actions up to this point. You
can create your own future by changing your behaviors. You can make new
choices and decisions that are more consistent with the person you want to be and
the things you want to accomplish with your life.”

Leo nataka ujiulize kwanini Mungu alikuumba wewe mwanadamu na wala sio kiumbe kingine chochote?

Ukijua hivyo huwezi kujidharau!
Ukijua hivyo huwezi kujifananisha na wengine!
Ukijua hivyo huwezi kukubali kushindwa!
Ukijua hivyo huwezi kukata tamaa kirahisi!

Mnyama  kama wa kawaida hua anawaza vitu viwili tu kula na kuzaliana. Lakini wewe binadamu umepewa uwezo wa kugundua vitu. Umepewa uwezo wa kufanya mambo makubwa!

Kabla hujafanya hakikisha kuna kitu umeacha duniani. Hakikisha dunia umeipendezesha kwa ugunduzi wako.
Yote haya yanawezekana kwa kutambua kwanini hukuzaliwa mnyama mwingine yeyote ukazaliwa binadamu.

Umeshatambua kwanini Wewe ni mwanadamu na sio kiumbe kingine?

Anza kuchukua hatua leo kufikia ndoto zako weka malengo ya vile vitu unavyotaka kuvifikia.

Fanyia kazi malengo yako.
Bila kukata tamaa.
Utafikia kule unapoona.

Sifa ya mwanadamu  ni uwezo wa kuona mbele yaani maono. Kwa kuangalia hali iliyopo sasa unaweza kutambua ni nini kitatokea miaka mitano ijayo.

Vitendo ni muhimu. Maarifa pia ni muhimu.
Utafikia kile unachokiona

?Learn more here …
http://ow.ly/EkqQ302aVbQ

?Jacob Mushi.
?+255654726668

Continue Reading
You may also like...

Jacob Mushi ni Mwandishi wa makala, nukuu na vitabu vya Maisha na Mafanikio, Kocha wa Maisha na Mjasiriamali. Kiu yake kubwa ni kuona wewe unakuwa mtu bora, unatimiza ndoto zako na unaishi Maisha ya mafanikio. Kazi yake kubwa ni kuhakikisha wewe hauishii Njiani kwenye lile kusudi ambalo Mungu ameweka ndani yako.

Click to comment

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *

More in USIISHIE NJIANI

To Top