KWANINI WEWE UPO HAI MPAKA LEO? SOMA HAPA

SABABU YA WEWE KUA HAI MPAKA SASA NI HII… Habari ya leo ndugu msomaji wa mtandao huu. Karibu tena leo kuendelea kujifunza nasi. Leo tunajifunza sababu ya wewe kua hai mpaka sasa. Embu jiulize ni watu wangapi unaowafahamu wameshafariki lakini wewe upo hai ulishajua kwanini upo hai?   Leo nitakwambia kwanini bado upo hai. Upo hai […]

USIBADILI TABIA KWA KUA UMRI WA KUOA/KUOLEWA UMEFIKA

USIBADILI TABIA KWA KUA UMRI WA KUOA/KUOLEWA UMEFIKA. Habari ndugu msomaji wa mtandao huu. Karibu sana leo tunaenda kujifunza pamoja hii tabia yetu hasa vijana ambao tumefikia umri wa kupata mke na mume tumekua tukiambiwa “ukiendelea na tabia hii nani atakuoa/ utamuoa nani” Ni ukweli hawajakosea kusema ila mimi ninakwambia leo ” usibadili tabia kwa […]

Wewe Ni Muujiza Uliokua Unausubiri.

Wewe Ni Muujiza Uliokua Unausubiri. Habari ya leo ndugu msomaji wetu mpendwa. Ni matumaini yangu unaendelea vyema na mipango yako ya maisha. Karibu tena leo katika makala yetu. Leo tutajifunza somo linaitwa “Wewe Ni Muujiza Uliokua Unausubiri”.Wewe ndie muujiza wako katika maisha tumezoea kumuomba Mungu nakusubiri ajibu ni kweli  anajibu lakini  lazima na wewe uhusike […]

JALI CHANZO CHA MAFANIKIO YAKO.

JALI CHANZO CHA MAFANIKIO YAKO. Habari za leo ndugu msomaji wa mtandao huu wa Rise and Shine natumaini unaendelea vyema. Leo tunaenda kujifunza kuhusu kujali chanzo. Chanzo cha hapo ulipofikia ni Mungu. Elimu uliyonayo chnzo chake ni Mungu. Jali chanzo cha mafanikio ya hapo ulipo. Kumb.8:11-20 Tunakuwa na bidii sana wakati tunatafuta vitu tukisha vipata […]

MAMBO MATATU YA KUZINGATIA KILA SIKU

Habari za leo ndugu msomaji wa mtandao huu ni matumaini yangu kua ni mzima na unaendelea na shughuli zako vyema. Leo tunajifunza mambo matatu ya muhimu na ya lazima kua nayo ili uwe na furaha katika maisha yako nimejaribu kyatafakari sana nikagundua kua chanzo cha kutokua na furaha ni mtu kufanya mambo mawili na kuacha  […]

KULA KIAPO CHA KUTIMIZA NDOTO ZAKO

YKULA KIAPO CHA KUTIMIZA NDOTO NA MALENGO YAKO. Habari za leo ndugu msomaji wa mtandao huu natumaini unaendelea vyema katika mipango ya maisha yako Leo tunaenda kujifunza ni nini cha kufanya ili uweze kutimiza ndoto zako karibu sana  ili tuendelee kujifunza pamoja. Kama tunavyojua kua mwanadamu ana tabia ya kuchoka  na kukata tamaa mapema leo […]