Mafanikio ni Mchakato.

Nilipokua sekondari tulitumia barabara mbaya sana kuelekea shuleni kitu kilichofanya safari iwe ya kuchosha sana na yenye kuchukua muda mrefu sana.Kipindi hicho barabara nzuri ya lami ilikua ikitengenezwa, kila nilipokua nikisafiri kwenda na kurudi shule nilitumia muda huo kujifunza juu ya ujenzi wa barabara! Ujenzi wa barabara unapoanza unaudhi sana kwani miti hukatwa , udongo […]

Haijalishi Umezaliwa Wapi, Maisha ni Zawadi.

Katika maisha haya kamwe usimlaumu mtu yeyote kwasababu ya kushindwa kwako au kufeli kwako jambo fulani, kwasababu kulaumu hakuibadilishi hali bali kunatengeneza tatizo lingine linaitwa KiNYoNgO. Hakuna mtu aliyetuma barua ya maombi kwa MUNGU azaliwe katika familia fulani yenye hali fulani au uzuri fulani, Wote tumezaliwa tumejikuta watoto wa fulani na fulani, Wengine wamezaliwa wamejikuta […]