HATUA YA 369: Usiuze Utu Wako.

Katika Muda mchache ambao nimekuwepo hapa duniani, kuna aina ya watu mbalimbali ambao nimeshakutana nao. Kuna aina ya tabia ambazo nimeziona zimekuwa zinanishangaza sana na wakati mwinginze zimekuwa zinasikitisha sana. Kuna aina ya tabia ukiwa nazo unaweza kujikuta umeuza utu wako na ukakosa kabisa umiliki wa Maisha yako. Wapo watu wengi ambao ninawafahamu wamekuwa na […]

HATUA YA 368: Wewe Unasemaje?

Unaweza kukaa kwenye jamii ambayo haikuelewi kutokana na matendo yako au yale ambayo unayanena juu yao. Unaweza kukaa na marafiki ndugu au hata wazazi wasioelewa kusudi la wewe kuwepo hapa duniani. Kila mmoja anaweza kukupa tafsiri yake kulingana na uwezo wake wa kuelewa. Kitu cha muhimu sana sio vile watu wanavyosema juu yako bali ni […]

HATUA YA 367: Kama Sio Sahihi Usifanye na kama Sio Kweli Usiseme.

Jambo lolote unalotaka kufanya lazima uwe na muda wa kujiuliza faida na hasara ya jambo lenyewe katika Maisha yako na ya wengine. Karibu kila jambo ambalo utafanya leo liwe baya au zuri linagusa Maisha ya wengine inawezekana ni moja kwa moja au sio moja kwa moja. Kwa kupitia matendo yako kuna Maisha ya wengi unayagusa, […]

HATUA YA 366: Hakuna Hali Yeyote Inayodumu Kwenye Maisha Yako.

Maisha ni muunganiko wa matukio ya aina mbalimbali ambayo yanaendelea kila siku. Kuna nyakati utakuwa na furaha sana na kila unalolifanya linaleta matokeo yale uliyokuwa unayataka. Kuna nyakati mambo yatakuwa ni mabaya changamoto nyingi na utatakiwa uwe unawaza sana. Unachotakiwa kutambua ni kwamba yote hayo ndio Maisha. Haujawahi kuambiwa kwamba Maisha yatakuwa ni marahisi na […]

HATUA YA 365: Hata Ukifika Mbinguni Ukarudi Bado Kuna Ambao Hawataamini.

Katika Maisha yako usikubali kuwa mtumwa wa kufanya vitu ili watu wakuamini au wakuthamini au wakukubali. Chochote kile unachokifanya sababu ya kwanza inatakiwa kuwa ni moyo wako uwe unapata furaha, sababu ya pili iwe ni kuna Maisha ya mtu unayasababisha yawe bora. Haya mengine yote ambayo yanakuja huku Njiani kama kusifiwa, kujulikana sana, kupongezwa, kupewa […]

HATUA YA 364: Jambo Hili Naomba Usilisahau.

Kuna mtu mmoja aliniambia Jacob naona mnataka kuwabadilisha watu waanze kufikiri kwamba ugumu wa Maisha yao wameusababisha wenyewe. Mbona kama mnataka kuwadanganya? Kuna vitu vingi sana vinahusika kuyafanya Maisha yawe magumu sio mtu binfsi pekee. Mimi sijakataa hilo lakini nataka ufahamu kwamba pamoja na watu wengine kusababisha ugumu wa Maisha yako, pamoja mifumo mibovu, pamoja […]

HATUA YA 363: Wote Tunatazama, Tunatofautiana Kuona.

Tunaweza kutazama mti kwa pamoja lakini kila mmoja akauona kwa mtazamo wake wa tofauti. Kuna ambaye ataona mti kama mti tu, mwingine ataona kuni, mwingine ataona mbao, mwingine ataona matunda, mwingine ataona kivuli. Kile kilichopo ndani yako na uhitaji wako ndio kinafanya uvione vitu katika namna ya tofauti na wengine. Hii ndio maana unaweza kuwapa […]

HATUA YA 362: Tabia Yako Ya Halisi Ni Hii Hapa.

Unaweza kukutana na mtu akakufanyia kila jambo zuri na mengine hujawahi kufanyiwa na mtu mwingine yeyote hapa duniani. Utajisikia rah asana na kumuona ni mtu wa kipekee sana kuwahi kutokea kwenye Maisha yako. Endapo wengine wataulizia kuhusu mtu huyo unaweza kumwaga sifa nyingi sana juu yake. Sasa hili ndio nataka ufahamu inawezekana mtu akakutendea kila […]

HATUA YA 361: Ushindi Mdogo ni Hamasa ya Kufikia Ushindi Mkubwa.

Vile vitu vidogo vidogo unavyofanya na ukafanikiwa ndio vinakupa hamasa ya kufikika ushindi mkubwa. Kama utakuwa unadharau mambo madogo madogo ni rahisi kwamba huwezi kuyafikia makubwa. Unawezaje sasa kuwa na ushindi mdogo? Siku zote ushindi mdogo huanza asubuhi na mapema. Ukifanikiwa kuamka mapema kabla ya wengine maana yake wewe ni mshindi. Umeshinda usingizi, umefanikiwa kuamka […]

HATUA YA 360: Hii Ndio Dawa ya Hofu

Kwenye jambo lolote kubwa au la tofauti na ambalo halijawahi kufanyika na watu wengi mar azote unapotaka kufanya unakuwa na hofu sana. Sio kawaida ya watu kuongea mbele za watu na imekuwa inaonekana wale wanaongea mbele za watu ni wenye akili sana lakini sio kweli unaweza kuwa mjinga lakini ukijiamini vya kutosha unaweza kusimama mbele […]