Pata GREENHOUSE Kwa bei ya OFa
Kwa mwezi huu wa March na April tunatoa OFA ya Punguzo la ujenzi wa Greenhouse. Ni punguzo la gharama ya ya ujenzi wa Greenhouse. Punguzo la bei litakua kuanzia 10% hadi 30% kutegemeana na ukubwa wa greenhouse. Vilevile ofa hii itaambatana na Ongezeko la vifaa au huduma, mfano tank la maji, kuunganisha na soko nk.… Read More »