MAMBO 5 YANAYOKWAMISHA WATU WENGI.

Habari Rafiki, leo tena tunakutana kwenye Makala yetu ya MBINU ZA MAFANIKIO. Tunaangalia mambo ambayo yamekuwa ni sababu ya watu wengi kukwama kimaisha. Ninaposema kukwama namaanisha vile mtu anakuwa kwenye hali moja kwa muda mrefu. Pata Kitabu: SIRI 7 ZA KUWA HAI LEO Kama ni kazi anafanya basi anakuwa hana mabadiliko yeyote ya nje au […]

Neno moja Unalolihitaji ili Ufanikiwe

Najua unatamani kufanikiwa, sana. Kiasi kwamba ni kitu unachowaambia watu wengi kwenye maisha kwamba utafanya, kinachokufanya ufanye kazi kwa moyo wote, kinachokufanya ufikirie usiku na mchana kuhusu kesho. Mafanikio ni rahisi sana kuyapata ukijifunza nguvu iliyopo kwenye neno moja, HAPANA. Hapana ni neno jema na baya pia. Kama vile kisu kilivyo ukikitumia vizuri ni kizuri, […]

Aina 4 za Watu Katika Safari Ya Mafanikio.

Habari Rafiki, leo kwenye mbinu za mafanikio tunakwenda kuwaona watu aina nne tulionao katika safari ya mafanikio. Ni kweli watu wengi wamekuwa wanatamani sana kufikia mafanikio. Ni kweli watu wengi wamekuwa wanahamasika sana wakiona wengine wamepiga Hatua Fulani kwenye Maisha. Lakini tunatofautiana sana katika hao wengi kwenye mchakato wa kufikia mafanikio. Katika watu wengi waliofikia […]

MAMBO 6 YANAYOIBA FURAHA YAKO.

Jiunge na Mtandao Huu Uwe Unapokea makala nzuri kama hii moja kwa moja kwenye email yako Weka email Yako hapa Habari Rafiki, natumaini unaendelea vyema na kupambana ili Ndoto yako itimie. Usikubali kabisa kuishia njiani, wako wengi wanakutazama na watakuja kunufaika sana na hicho unachokifanya. Leo tunajifunza mambo sita ambayo yamekuwa yanaiba furaha yako bila […]

Sababu kumi za kwanini unahitaji watu ili kufanikiwa maishani

Umeshawahi kuangalia mashindano yoyote? Au sherehe za ugawaji wa tunzo?/ Bai kama umewahi kuangalia kuna kitu ambacho kinajirudia kwa watu wote wanaoshinda. Huwa wanatoa insha ndefu na kutaja majina ya watu waliowasaidia kufika hapo walipo, na wakati mwingine huwa wakilia kwa furaha ya jinsi hao watu walivyohusika katika ushindi wao wa hiyo tunzo au hayo […]

BARUA YA WAZI KWA WOTE WANAOISHI BILA YA MZAZI MMOJA AU WOTE.

Habari Rafiki yangu, leo tena nimeandika barua hii maalumu kwa watu wote wasio na wazazi na pia wenye mzazi mmoja. Ni kwa ajili ya kukutia moyo ili uweze kusonga mbele na kutimiza Ndoto yako. Unaweza kutuma Makala hii kwa Rafiki yako ambaye unafikiri akiisoma itamtia moyo na ataweza kusonga mbele. Kwa waliopoteza wazazi kwasababu mbalimbali, […]

JINSI YA KUJUA KAMA UNAELEKEA KWENYE NDOTO YAKO AU UMESHAPOTEA NJIA.

Habari Rafiki, Leo ni siku nyingine tena ambayo tumepewa kama zawadi kwa ajili ya kwenda kuyafanya Maisha yetu yawe bora Zaidi. Jisemeshe Maneno Haya Kabla Hujatoka Kwenda kufanya Chochote. “NACHUKUA HATUA, NAJIFUNZA, NAWEKA JUHUDI NA BIDII, NAVUMILIA. MAFANIKIO NI HAKI YANGU, EEH MUNGU NIWEZESHE.” Pamoja na kwamba wengi tumekuwa na maono makubwa na ndoto kubwa […]

JINSI YA KUANDIKA MALENGO YAKO NA KUANZA KUYATIMIZA KIRAHISI ZAIDI.

Habari za Leo. Ni furaha yangu kuwepo pamoja na ninyi hapa siku ya leo. Kabla hata hujaweka malengo yako ya mwaka huu jiulize maswali haya ya muhimu. Umeshajua kwanini Upo duniani? Una Maono gani juu ya hilo lililokuleta hapa duniani? Ukishapata majibu ya maswali hayo mawili tunaweza kuendelea kujifunza kwenye somo letu la kuweka malengo. […]

WEWE NI MZALISHAJI AU MTUMIAJI/MLAJI?

Kwenye dunia ya sasa kuna vitu vingi sana vinazalishwa kila siku na kila wakati vinagunduliwa vipya. Kitu kimoja kinachonifurahisha zaidi ni kwamba tuna watumiaji wengi sana ambao hawaachi kitu kipya kije bila wao kutumia. Jiulize leo unatumia vitu vingapi na kwa faida gani? Tuanze na mitandao ya kijamii pamoja na vifaa vyake. ⚠Umenunua laini ambayo […]

UMUHIMU WA KUJITAMBUA NA KUELEKEA KWENYE MAFANIKIO

Kujitambua wewe ni nani ni hatua ya kwanza kwako kuanza kufanya mambo makubwa na kutimiza ndoto zako. Watu wengi wanashindwa kujitambua wao ni nani hivyo wanaishia njia bila hata kujua uwezo walio nao. Kama hujajua wewe ni nani huwezi kujua uwezo wako ukoje. Embu jiulize simba mkubwa ambaye hajitambui yeye ni simba hawezi kuwinda. Hawezi […]