JINSI YA KUJIJENGEA TABIA YA KUSIKILIZA NA KUJILETEA MAFANIKIO KATIKA MAHUSIANO YAKO NA WENGINE.

Habari za leo Rafiki yangu, ninatumaini unaendelea vyema na mapambano ya kufikia mafanikio makubwa. Ni muhimu utambue kwamba maisha hayatakaa yawe marahisi hivyo basi unachohitaji ni wewe kuwa na ujuzi wa namna mbalimbali ili uweze kuzikabili changamoto unazokutana nazo. Kazi yangu kubwa ni kukupa wewe mbinu mbalimbali ambazo utazitumia zikuwezeshe wewe katika changamoto hizo na […]

Utakula matunda ya kinywa Chako.

Maneno yako yanajenga vitu kwenye maisha yako, hata kama hutaona matokeo yake kwa muda huu ipo siku yataonekana hata ikiwa umeshasahau. Ni vyema sana kujitazama sana kile uanchokiongea kinaweza kuleta matokeo gani kwenye maisha yako na kwa wengine. Sio kila neno ni la kutamka, sio kila jambo ni la kuchangia unaweza kujikuta unajichimbia shimo mwenyewe. […]

JINSI YA KUGUSA MAISHA YA WENGINE NA KUFIKIA MAFANIKIO.

Habari rafiki, leo tunakwenda kuona njia za kugusa maisha ya wengine ili tuweze kufikia mafanikio ya kweli.  Kwenye kila kitu ambacho Mungu ameweka ndani yako ni kwa ajili ya wengine. Kama utaweza kukitumia vyema utakuwa umeweza kuyasaidia maisha yako mwenyewe. Maana ya kugusa maisha ya wengine. Kugusa Maisha ya wengine ni kile kitendo cha kuongeza […]

HUU NDIO UKWELI ULIKUWA HUUJUI JUU YA PESA.

Habari za Leo Rafiki yangu wa Muhimu sana. Wewe ni rafiki yangu wa muhimu sana kwakuwa ndie unanifanya niandike. Naandika ili usome unufaike na maisha yako yawe bora zaidi! Ni furaha yangu kujua unaendelea vyema sana na majukumu yako. Ni wakati mwingine tena tunaenda kujifunza pamoja juu ya mambo mbalimbali ili tuweze kufikia mafanikio kila […]

Mambo Unayopaswa Kuyafanya Ukiwa Bado Kijana.

Kama kijana una nafasi kubwa sana ya kufanikiwa endapo utakuwa umejitambua mapema. Kutokana na namna jamii zetu zilizvyotulelea inakuwa ngumu sana mtu kutambua yeye ni nani. Lakini kwa kipindi hiki tunajitahidi kwa namna mbalimbali ili vijana wengi waweze kujitambua na kuleta mabadiliko kwenye Maisha yao na kwenye jamii nzima. Jamii yenye vijana wanaojielewa ni mara […]

Usiwe na Tabia za Maji.

Maji hayana umbo wala rangi, ukiyaweka kwenye chombo chochote kile yatachukua rangi ya chombo na umbo la chombo. Ukiyamwaga chini yatachukua vilevile rangi ya pale uliyoyamwaga. Maji siku zote hayana utaratibu yanafuata mkondo uliopo mbele na kuanza kutiririka. Pia yasipowekewa utaratibu mzuri huleta uharibifu mkubwa. Maji hayawezi kupanda mlima siku zote yanakimbilia mabondeni, ukitaka kuyapandisha […]

JINSI YA KUISHINDA TABIA YA KUISHIA NJIANI KWENYE MAISHA YAKO.

Tabia ya kufanya jambo kidogo kisha ukaona hakuna matokeo na ukakata tamaa na kwenda kukimbilia kufanya jambo jingine inaweza kuwa sababu ya wewe kutokutimiza chochote kwenye Maisha yako. Kama huna uwezo wa kufanya jambo moja hadi ukahakikisha limekuletea matokeo anza mapema kuitengeneza. Zipo sababu nyingi unaweza kuwa nazo za kwanini umeishia njiani lakini ukweli sababu […]

Huwezi Kumridhisha Kila Mtu Ila Unaweza Kufanya Hiki.

Tunaishi kwenye dunia ya watu wenye tabia za aina tofauti tofauti. Wengine wenye kukera, kuudhi, kukasirisha na kila aina ya ubaya. Wengine ni wapole wanaweza kusikiliza watu vizuri na hata kama utawaudhi kamwe hawataweza kukasirika na wewe. Sasa tukiachana na hao watu ambao tunaweza kuwazungumzia juu ya tabia zao inatakiwa wewe binafsi uanze kujifikiria wewe […]

MAMBO 4 AMBAYO NI LAZIMA UKUTANE NAYO NJIANI KATIKA KUTIMIZA NDOTO YAKO.

Katika safari ya mafanikio unapoamua kujikana na kusema ni lazima ndoto yako itimie kuna mambo mengi utapitia kwenye Maisha. Zipo aina ya changamoto ambazo hujirudia kama tu ndoto zako ni kubwa na umeamua kufika mbali. Kama umeamua kuwa tofauti na wengine kuna mambo ambayo ni lazima yakutokee tu haijalishi hao watu ni aina gani. Ni […]

Mafanikio Ni Kila Siku.

Maamuzi chanya madogo madogo unayofanya kila siku ndio yataamua aina ya Maisha utakayokuja kuishi miaka 5/10/20 ijayo. Fanya maamuzi sahihi, chukua hatua bila kukata tamaa. Mafanikio sio hatua kubwa Fulani ambayo unatakiwa uifikie ndio tuseme umefanikiwa bali ni matokeo chanya kidogo kidogo ambayo unayapata kila siku kwa hatua unazochukua. Kama kila siku kuna jambo unakuwa […]