Mambo uliyokuwa huyajui Kuhusu Ajira

Habari za Leo Msomaji wetu. Tunakwenda kuzungumzia kwa kifupi juu ya ajira na waajiriwa na jinsi ya kujitoa kwenye kongwa hili. Ni kweli tunategemeana katika maisha yetu mwenye biashara anategemea wafanyakazi ili aweze kukuza zaidi biashara yake. Lakini bado hiyo haitakiwi kuwa sababu ya wewe kutofanya kitu kingine na kubakia unategemea mshahara peke yake.  Mabadiliko […]

Mambo 5 Yanayoonyesha Unachokifanya Sio Kusudi Lako

Habari za leo Rafiki yangu wa Muhimu sana. Natumaini leo yako inaendelea vyema. Tunakwenda kuangalia mambo matano yanayoonyesha kua unachokifanya sio kusudi la wewe kuwepo duniani. Karibu ujifunze pamoja name. Kukosa furaha. Kama unachokifanya hakikufanyi unakajisikia furaha ndani ya moyo wako yaani hufurahii kukifanya moja kwa moja hilo sio kusudi lako. Kaa chini tafakari ujue […]

Jinsi ya Kuchukua Hatua na Kuanza (How to Start).

Habari za Leo Rafiki na Mwanamafanikio mwenzangu. Ni furaha yangu kusikia kwamba unapiga hatua na kusonga mbele kila siku kwenye kile unachokifanya. Leo tunajifunza Jinsi ya Kuanza jambo unalotaka kulitimiza maishani mwako. Inawezekana umehamasika sana, umejifunza mengi sana humu lakini bado hujaanza. Bado unajishauri na kusema mwakani nitaweka malengo nianze kuliishi kusudi langu, mwakani nitaanza […]

NGUVU YA TAARIFA KATIKA MAONO NA NDOTO ZAKO.

Habari Rafiki,  natumaini unaendelea vyema.  Pole na majukumu mbalimbali ya kutimiza kile kinachokufanya uwepo hapa duniani. Leo tunakwenda kutazama Nguvu ya Taarifa Juu ya Maono na Ndoto  zetu.  Kama tunavyojua katika ulimwengu wa sasa mawasiliano yamekua rahisi sana.  Na hii imeletwa na mapinduzi ya teknolojia yanayoendelea kuvumbuliwa kila siku.  Ninafurahishwa sana na teknolojia mpya zinazotokea […]

Nguzo 10 za Mafanikio

Habari za Leo ni matumaini yangu u mzima na unaendelea vyema. Leo tuanajifunza nguzo 10 za mafanikio yako. Ukiweza kuzisimamia nguzo hizi lazima utaona mabadiliko na kusonga mbele kuelekea kwenye ndoto zako. Karibu tujifunze pamoja mpaka mwisho. Jua kusudi la kuzaliwa kwako. Nguzo ya kwanza na ya muhimu sana ni wewe kutambua kwanini ulizaliwa. Upo […]

WEWE NI MSHINDI

Mshindi ni mtu alieshinda, Hivyo wewe ni mshindi kwa kua umeshinda, kua hai leo ni ushindi, kuwa na Mungu mpaka sasa huo ni Ushindi, kuweza kujifunza semina na kufuatilia mafundisho kama haya wewe ni mshindi. Embu jiulize ni watu wangapi ulikua unawafahamu leo hawapo duniani? Wewe umeshinda Mungu kakuweka duniani ili uendelee kushinda. KWANINI WEWE […]

Jinsi ya Kuishinda Tabia ya Kuahirisha mambo.

Tabia moja ambayo inawarudisha wengi nyuma ni tabia ya kuahirisha mambo. Na kuahirisha ipo karibia kila sehemu kuajiriwa, kujiajiri, mambo yako binafsi, karibia kila mahali tabia hii inaingia na imewasababishia watu wengi sana wabaki vile walivyo kwa sababu ya kuahirisha. Umekutana na fursa nzuri sana ikakuhamasisha ukirudi nyumbani yanaanza kukujia mawazo “kwanza sio lazima nianze […]

MAMBO MATATU YA KUZINGATIA KILA SIKU

Habari za leo ndugu msomaji wa mtandao huu ni matumaini yangu kua ni mzima na unaendelea na shughuli zako vyema. Leo tunajifunza mambo matatu ya muhimu na ya lazima kua nayo ili uwe na furaha katika maisha yako nimejaribu kyatafakari sana nikagundua kua chanzo cha kutokua na furaha ni mtu kufanya mambo mawili na kuacha  […]