457; USIISHIENJIANI LEO: Kupanda, Kuhudumia na Kuvuna.

Tumekuwa tunasikia kila upandacho utavuna. Ni kweli ni sahihi kabisa. Ila jiulize hivi ukipanda mahindi shambani ukayaacha huko hadi wakati wa Mavuno utakutana na mahindi kiasi gani? Ukiruka hatua ya Kuhudumia kile ulichokipanda basi tegemea kukuta mavuno hafifu. Mchakato wa Kuhudumia ni mrefu na ndio huamua uvune kiasi gani katika kile ulichopanda. Unajua hata mahusiano […]

456; #USIISHIENJIANI LEO: Shilingi Elfu Moja.

Ukiwa na Shilingi elfu moja mfukoni unaweza kuiona ni pesa ndogo sana isiyotosha kufanya kitu chochote cha maendeleo zaidi ya kula tu.Lakini nikwambie kitu cha Ajabu sana shilingi elfu moja inaweza kuwa ni mwanzo wa wewe kuwa tajiri. Kuna watu kutokana na fikra zao zilivyo wanaweza wasiamini na hivyo wakaendelea kubaki pale pale walipo. Shilingi […]

455; #USIISHIENJIANI LEO: Ni Majukumu Yako, Usisubiri Usukumwe.

“Good people do not need laws to tell them to act responsibly, while bad people will find a way around the laws.” -Plato Watu wema hawasubiri sheria iwaambie jinsi ya kuwajibika, wanajua majukumu yao na wanayatekeleza. Watu wabaya hata sheria zikiwekwa bado watatafuta namna ya kwenda Kinyume nazo. Mtu mwema hasubiri ahamasishwe kuwajibika. Anawajibika mwenyewe.Sheria […]

454; #USIISHIENJIANI LEO: Chuki Haijengi.

“If you and I are having a single thought of violence or hatred against anyone in the world at this moment, we are contributing to the wounding of the world.” -Deepak Chopra Kama mimi na wewe tukiwa na wazo moja tu la kuchukia mtu mwingine hapa duniani tunakuwa tunachangia vidonda/maumivu kwenye dunia.Kuchukia ni sumu, huwezi […]

453; #USIISHIENJIANI LEO: Kufikiri, Unavyoishi, Unavyokula.

“The way you think, the way you behave, the way you eat, can influence your life by 30 to 50 years.” -Deepak Chopra Vile Unavyofikiri, unavyotenda na kula, ina nguvu sana katika maisha yako ya baadae. Afya yako miaka 30 ijayo itatokana na kile unachokula sasa hivi.Maisha Yako kwa ujumla yanatengenezwa na fikra zako. Vile […]

452; #USIISHIENJIANI LEO: Unashindana na nani?

“A creative man is motivated by the desire to achieve, not by the desire to beat others.” -Ayn Rand Mtu mbunifu anahamasishwa na Kutimiza kile alichokipanga na sio kuwashinda wengine.Lengo lako lisiwe kuwa bora kuliko wengine kwasababu tayari wewe una kitu cha pekee sana ndani yako ambacho wengine hawana. Huhitaji kushindana na wengine unahitaji kushindana […]

451; #USIISHIENJIANI LEO: Ndoto Yako Inawezekana.

Jaribu kuvuta picha sasa hivi, upo nyumbani kwenu na hali yako ya kimaisha ni ngumu. Mfukoni huna hata tsh elfu tano, ghafla unapokea simu kwamba maombi uliyowahi kuomba miezi sita iliyopita yamejibiwa. Miezi sita iliyopita zilitokea nafasi za kazi Marekani za kwenda kufanya kazi kwenye kampuni ya tajiri wa kwanza wa dunia. Na wakatoa nafasi […]

450; USIISHIENJIANI LEO: Kuogopwa na Kupendwa.

“No one loves the man whom he fears.” -Aristotle Hakuna anaempenda mtu anaemuogopa. Kuna tofauti kubwa ya mtu kukupenda na mtu kukuogopa. Mtu akikuogopa anaweza kufanya kila unachotaka afanye na wewe ukafikiri anakupenda kumbe anakuogopa. Usiwafanye watoto wako wakuogope ili wasifanye yale ambayo hutaki. Watafanya tu wakati wakijua haupo au huwezi kujua. Wakikupenda watakutii na […]

SURA YA 441; Kuchunga Kondoo Ni Darasa.

Kuna vitu huwezi kuvijua mapema kwasababu ukivijua mapema utashindwa kuwa mnyenyekevu katika sehemu uliyopo sasa. Kule mahali Mungu anataka ufike wakati mwingine hatakuonesha mapema kwasababu ukijua mapema unaweza kuanza kuruka hatua nyingine. Tukimuangalia Daud alikuwa mtoto wa mwisho wa baba yake, kaka zake walikuwa wanajeshi, yeye alikuwa mchungaji wa kondoo. Lakini Mungu alishamuandaa kuwa mfalme, […]

SURA YA 440: Usichanganye na Maji.

Miaka kama 10 iliyopita Kulikuwa na bibi mmoja kijijini kwetu alikuwa anauza maziwa fresh. Maziwa yake yalikuwa ni matamu sana na pia masafi hivyo kusababisha watu wengi kuyapenda na kuyasemea vizuri. Kadiri watu walivyoyasemea vizuri ilifika wale waliokuwa wanauza maziwa kama yeye ikabidi wafunge kwa kukosa wateja. Watu Karibu mtaa mzima ulihamia kwake. Bibi yule […]