468; Watu Sahihi, Watu Wazuri.

Kwenye Maisha tunawahitaji watu sahihi. Watu Sahihi sio lazima wawe Wazuri kwetu wanaweza kuwa watu wabaya lakini ni sahihi. Kusudi la hao watu kwenye maisha yetu ndio litaamua usahihi wao. Unaweza kukutana na mtu anakuchukia bila sababu halafu kwa kukuchukia kwake kukawa sababu ya wewe kusonga mbele Zaidi. Kuna watu wakikupenda ndio wanakuharibu, badala ya […]

449; #USIISHIENJIANI LEO: Unakuwa Kile Unachozungumza.

Kuna mstari unasema “Kimtokacho mtu ndicho Kimjazacho” yaani kile unachoongea ndio kimejaa ndani yako. Ili uweze kubadilisha kinachotoka ndani yako anza kubadilisha unachoingiza ndani. Ukiamka asubuhi unaanza kuingiza vitu gani kwenye ufahamu wako?Unaanza kusikiliza Habari na kutembelea mitandaoni ujue kiichotokea?Anza kubadili unachoongea sasa kwa kubadilisha aina ya marafiki ulionao.Kama watu unaokaa nao mara zote huzungumzia […]

448; #USIISHIENJIANI LEO: Ipo Ndani Ya Uwezo Wako.

There is nothing happens to any person but what was in his power to go through with.-Marcus Aurelius Hakuna kitu kinamtokea mtu ambacho hakipo ndani ya uwezo wake wa kupambana nacho.Changamoto uliyonayo sasa una uwezo wa kuishinda.Majaribu ya aina yeyote unayopitia una uwezo wa kuyashinda. Hakuna namna utaletewa jaribu lililozidi uwezo wako. Kinachofanya uone kama […]

447; USIISHIENJIANILEO: Sumbua Sumbua Watu Upate Haki Yako.

Nakumbuka mwaka 2016 nilifuatwa na watu mbalimbali wakiomba ushauri na Msaada wa Maisha na biashara. Mtu Anaweza kupiga simu akiwa na hamasa sana ukamwambia nipigie jioni tuongee vizuri, halafu asikutafute tena. Jambo nililogundua ni kwamba Ukitaka kujua mtu amejitoa kiasi gani kwa ajili ya kile anachotaka msubirishe. Kama ni kweli amejitoa na amedhamiria yeye mwenyewe […]

446; #usiishienjianileo: Watu Waovu Wanahitaji Kupendwa.

Kumchukia muovu hakusababishi aache uovu wake bali kuchukia vitendo viovu na kuvikemea. Sisi wanadamu tumekuwa wepesi sana kuwahukumu wenzetu na kuonesha waziwazi kwamba wanastahili kupewa adhabu Fulani kutokana na makosa yao na hata kutaka wauwawe. Ni kweli kuna vitendo havivumiliki kabisa kama mauaji, ubakaji, na mengine mengi. Hatuwezi kuundoa uovu duniani kwa kuwaua watu wote […]

445; #usiishienjianileo: Ukiwa Juu Unaonwa na Wengi.

Habari Rafiki, ninayofuraha kukujulisha kwamba Leo ni siku nyingine tena ambayo tumepewa kama zawadi kwa ajili ya kwenda kuyafanya Maisha yetu yawe bora Zaidi. Watakaofanya mambo makubwa leo hawana siku ya tofauti sana na wewe bali watafanya vitu vya tofauti kwenye siku hii. Jisemeshe Maneno Haya Kabla Hujatoka Kwenda kufanya Chochote. “MIMI NI MSHINDI SIKU […]

444; #usiishienjianileo: Linda Sana Moyo Wako.

Habari Rafiki, ninayofuraha kukujulisha kwamba Leo ni siku nyingine tena ambayo tumepewa kama zawadi kwa ajili ya kwenda kuyafanya Maisha yetu yawe bora Zaidi. Watakaofanya mambo makubwa leo hawana siku ya tofauti sana na wewe bali watafanya vitu vya tofauti kwenye siku hii. Jisemeshe Maneno Haya Kabla Hujatoka Kwenda kufanya Chochote. “MIMI NI MSHINDI SIKU […]

443; SIKU MPYA. AKILI MPYA, NGUVU MPYA, MATOKEO MAKUBWA. #usiishienjianileo

Habari Rafiki, ninayofuraha kukujulisha kwamba Leo ni siku nyingine tena ambayo tumepewa kama zawadi kwa ajili ya kwenda kuyafanya Maisha yetu yawe bora Zaidi. Watakaofanya mambo makubwa leo hawana siku ya tofauti sana na wewe bali watafanya vitu vya tofauti kwenye siku hii. Jisemeshe Maneno Haya Kabla Hujatoka Kwenda kufanya Chochote. “MIMI NI MSHINDI SIKU […]

442; SIKU MPYA. AKILI MPYA, NGUVU MPYA, MATOKEO MAKUBWA. – Wewe Unajionaje?

Habari Rafiki, ninayofuraha kukujulisha kwamba Leo ni siku nyingine tena ambayo tumepewa kama zawadi kwa ajili ya kwenda kuyafanya Maisha yetu yawe bora Zaidi. Watakaofanya mambo makubwa leo hawana siku ya tofauti sana na wewe bali watafanya vitu vya tofauti kwenye siku hii. Jisemeshe Maneno Haya Kabla Hujatoka Kwenda kufanya Chochote. “MIMI NI MSHINDI SIKU […]

SIKU MPYA, AKILI MPYA, NGUVU MPYA.

Habari Rafiki, Leo ni siku nyingine tena ambayo tumepewa kama zawadi kwa ajili ya kwenda kuyafanya Maisha yetu yawe bora Zaidi. Jisemeshe Maneno Haya Kabla Hujatoka Kwenda kufanya Chochote. “NACHUKUA HATUA, NAJIFUNZA, NAWEKA JUHUDI NA BIDII, NAVUMILIA. MAFANIKIO NI HAKI YANGU, EEH MUNGU NIWEZESHE. Mungu alijua kabisa Musa angekulia katika familia yake angekuzwa na mtazamo […]