Jinsi ya Kuishinda Tabia ya Kuahirisha mambo.

Tabia moja ambayo inawarudisha wengi nyuma ni tabia ya kuahirisha mambo. Na kuahirisha ipo karibia kila sehemu kuajiriwa, kujiajiri, mambo yako binafsi, karibia kila mahali tabia hii inaingia na imewasababishia watu wengi sana wabaki vile walivyo kwa sababu ya kuahirisha. Umekutana na fursa nzuri sana ikakuhamasisha ukirudi nyumbani yanaanza kukujia mawazo “kwanza sio lazima nianze […]