Tupo kwenye ulimwengu ambao kama usipokuwa makini unaweza kujikuta miaka inakwenda na hakuna cha maana ambacho umekifanya katika kuitimiza Ndoto yako. Ulimwengu huu wenye masumbufu ya kila aina ambayo yanatutoa kwenye mstari na kutufanya tuwe na matokeo hafifu kwenye kazi ...

Unafahamu pamoja na kuwajua watu wengi sana katika Maisha yako kuna watu angalau 10 tu ambao wanaweza kuwa tayari kukuinua pale unapokuwa umeanguka chini? Mtu wa kawaida kabisa ana watu wake wa karibu 10 ambao wapo tayari kununua au kuchangia ...

Nakumbuka nimewahi kuandika mahali kwamba “Maisha yako Ni Tabia Zako” yaani vile unavyoishi kila siku ni mkusanyiko wa tabia ambazo umezitengeneza. Ni rahisi sana kutengeneza tabia mbaya kuliko tabia nzuri. Unajua ni kwanini? Mara nyingi tabia mbaya mwanzoni ni nzuri ...

Kuridhika na Mafanikio ya Jana. Habari Rafiki, Leo ni siku nyingine tena ambayo tumepewa kama zawadi kwa ajili ya kwenda kuyafanya Maisha yetu yawe bora Zaidi. “NACHUKUA HATUA, NAJIFUNZA, NAWEKA JUHUDI NA BIDII, NAVUMILIA. MAFANIKIO NI HAKI YANGU, EEH MUNGU ...

Kokosa Vipaumbele. Hakuna Maisha ya hovyo na magumu hapa duniani kama Maisha yasiyo na vipaumbele. Rafiki yangu lazima ujue una mambo gani unatakiwa kufanya na hayo mambo yasiweze kuingiliwa na ratiba nyingine yeyote isiyo ya umuhimu. Kuna watu wanaishi Maisha ...

Ugumu wa Maisha wa Kujitakia. Ni vizuri ukatambua kwamba ili uweze kufika viwango vya juu Zaidi ya hapo ulipo sasa hivi lazima ukubali kufanya maamuzi magumu. Maisha yako hayatakiwi kuwa magumu Zaidi ya inavyotakiwa, wewe mwenyewe kuna sehemu umesababisha kuongezeka ...

#Ni kweli Maisha hayajawahi kuwa marahisi ila kuna sehemu unaweza kuwa unazidisha ugumu wewe mwenyewe. “Pale ambapo wewe ni Mjinga Ndipo Wengine Wanakufaidi” #Ni kweli huwezi kujua kila kitu na ndio maana kwa vile vitu ambavyo huvijui lazima ulipie gharama ...

Habari Rafiki, siku yako umeianzaje? Unajua kwamba jinsi unavyoanza siku yako ndio na matokeo hufanana hivyo hivyo? Kama umeanza kwa kulalamika basi siku nzima inakuwa ni kulalamika. Chagua kuanza siku yako vizuri ili uwe na matokeo bora. Amka Mapema, Sali, ...

Inawezekana kwenye uko wenu familia yenu ndio mna hali duni kuliko wengine wote na hivyo kuonekana kama mnawategemea wale ambao wamewazidi. Inawezekana umefeli masomo na hujaweza kufikia elimu ya juu ambayo uliambiwa ndio mkombozi wa Maisha yako. Inawezekana pia umezingirwa ...

Habari Rafiki, Leo ni siku nyingine tena ambayo tumepewa kama zawadi kwa ajili ya kwenda kuyafanya Maisha yetu yawe bora Zaidi. Jisemeshe Maneno Haya Kabla Hujatoka Kwenda kufanya Chochote. “NACHUKUA HATUA, NAJIFUNZA, NAWEKA JUHUDI NA BIDII, NAVUMILIA. MAFANIKIO NI HAKI ...