Kukubaliwa na Kupingwa

Mara nyingi tumekua tukifurahi sana pale tunapowaeleza watu juu ya vitu tunavyoviwaza  kama binadamu hua anapata hamasa pale anapomueleza kitu mtu na akakikubali bila kukipinga. Sio vibaya kupenda hivyo lakini kwenye ujasiriamali na mawazo ya biashara iko tofauti kidogo. Wazo lako la biashara kila mtu akilikubali na akakuambia kua inawezekana na utafanikiwa wewe kama mjasiriamali […]

Kila Jambo na wakati wake.

Mwisho wa kila tunachokipigania hapa duniani ni kifo, watu wengi wanafikiri kuna siku itafika sasa aanze kupumzika na kufurahia maisha ukweli ni kwamba usipofurahia maisha sasa hivi utajikuta muda umeshakwenda na vitu ambavyo ulitakiwa ufanye wakati fulani muda wake umepita. Tunaambiwa kila jambo na wakati wake wakati wa kupanda na wakati wa kuvuna, chochote unachokipanda […]

Kuku, Kunguru na Tai.

Ukiona tai na kuku wapo pamoja wanatafuta chakula ujue tayari tai ameshapoteza mwelekeo. Mwanamafanikio mwenzangu ni kwamba kuku hana msaada wowote kwako juu ya kupaa kwako juu ya kwenda juu zaidi. Wewe kama mtu unaetaka kufika mbali unaetaka kupaa juu kama tai tafuta tai wenzako kuku atafundisha mbinu za kukaa hapa hapa chini, kuku atakufundisha […]

Ukweli ni huu Usijidanganye.

Zichukulie pande zote ni sawa. Wakati mwingine hua tunajidanganya wenyewe kwa kukataa kuambiwa ukweli. Umeanza biashara unataka kila unaemueleza akwambie nenda kafanye ni wazo zuri sana utafanikiwa akija mwingine akakueleza changamoto utakazokutana nazo unamwona mtu yule ni mbaya na hafai. Ukweli ni kwamba kwenye chochote kizuri na chenye matokeo mazuri changamoto ni lazima huwezi kuzikwepa […]

FANYA HAYA USONGE MBELE KIBIASHARA

Unapohamia kwenye jengo jipya tunaweza kusema biashara yako imekua lakini ukweli halisi sio huo,  biashara haikui kwa wewe kuhamia kwenye jengo kubwa au kubadili usafiri.  Leo tutakwenda kuona jinsi gani unavyoweza kukuza biashara yako. Kuna aina mbili za kufanya biashara yako ikue. 1. Idadi ya wateja kuongezekaTuseme mwaka jana ulikua unahudumia wateja 50 na mwaka […]

Ifanye biashara yako iwe ya kiteknolojia.

Habari ndugu msomaji wetu ni wakati mwingine wa kupeana mbinu nzuri juu ya kuboresha biashara zetu kwa njia ya mtandao, leo tunaangalia jinsi ya kubadili biashra zetu kua za kiteknolojia. Kama tunavyoona mabadiliko makubwa kwenye upande wa teknolojia kila siku mambo mapya yanatokea ni wakati wako sasa na wewe mjasiriamali kubadilika la sivyo utaachwa nyuma […]

Tumia Mtandao wa internet kukuza biashara yako.

Habari ndugu msomaji na mjasiriamali, ni wakati mwingine tena katika mtandao huu wa MoJa Group tunapokuletea Makala za mafunzo juu ya kutumia mtandao wa internet uweze kukuza biashara yako. Kwanini mtandao wa internet? Katika kipindi hiki cha karibuni kumekua na watumiaji wengi sana wa mtandao wa internet hasa baada ya kuja kwa wingi kwa simu […]

Hatuna usalama

Sitaacha kuirudia kila wakati hii sana… Tunatafuta pesa kwa bidii sana, tunatengeza na kugundua vitu vizuri sana ili tuache alama duniani lakini tunasahau kutengeneza watu wazuri wa kufaidi tutakavyoviacha. Tumewasahau vijana na watoto wengi Wanapotea kwenye ulevi, uvutaji bangi madawa ya kulevya, ngono zisizo salama, n.k ukimuona mwanao yupo salama ukapumzika unakosea sana kuna mambo […]

Fungua hizi njia kwanza ndio utaweza kupita

Fungua hizi njia kwanza ndio utaweza kupita Tangaza msamaha Tangaza msamaha kwa waliokutendea mabaya yeyote kwenye maisha yako.Ulitelekezwa ukiwa mtoto mdogo tangaza msamaha leo. Uliumizwa na mpenzi wako uliempenda sana hata ukasema hutakaa umsamehe tangaza msamaha leo. Ulidhulumiwa chochote na mtu mtangazie msamaha leo. Ulifukuzwa kazini kwa hila watangazie msamaha leo. Hakikisha huna kinyongo chochote […]

Maisha ni mafupi sana:

Habari za leo ndugu msomaji wetu leo tunaendelea na makala zetu karibu sana na samahani kwa kutokuwekwa kwa makala kwa siku kadhaa. Maisha ni mafupi sana usichezee na muda hata kidogo tumia. Hakikisha una furaha kila siku usisubiri upate pesa ndo ufurahi furahia safari uliyonayo sasa. Usikubali siku ipite bila kujifunza kitu kipya kwa maisha […]