Mambo ya muhimu yanayokurudisha nyuma kwenye kutimiza ndoto zako;

Mambo ya muhimu yanayokurudisha nyuma kwenye kutimiza ndoto zako; 1.       Watu unaoambatana nao.(Marafiki) Watu unaoambatana nao ni sababu kubwa ya wewe kukurudisha nyuma Huwezi kuambatana na marafiki waovu ambao hawazungumzi mambo ya maendeleo ukategemea kuaendelea mbele. Mithali 18:24- Ajifanyiae rafiki wengi ni kwa uangamivu wake mwenyewe, lakini yupo rafiki aambatanaye na mtu kuliko ndugu. Ili […]

Kula kiapo cha kutimiza ndoto zako (2)

Habari za leo ndugu msomaji wetu karibu sana tena leo kwa kujifunza pamoja leo tunajifunza jinsi ya kufnya ili uweze kuzitimiza ndoto zako kuna vitu vya muhimu sana vya kufanya ili uweze kufika kule unapopataka tutajifunza pamoja leo karibu sana. If a man hasn’t discovered something that he will die for, he isn’t fit to […]

Kwanini mafanikio ni lazima kwako?

Habari za leo msomaji wetu ni matumaini yangu unaendelea vyema na harakati za kutafuta mafanikio. Leo tunakwenda kujifunza sababu za muhimu wewe kufanikiwa.karibu sana tujifunze pamoja. Pesa sio kitu cha muhimu sana duniani lakini inagusa sehemu nyingi za muhimu katika maisha yetu hapa duniani. Mungu anawapenda maskini kwa sababu anataka watoke kwenye umaskini wao na […]

Iko wapi ndoto yako? Soma zaidi hapa…

Habari mpenzi msomaji wa makala zetu. Ni uhakika wangu kuwa uko vizuri kabisa. Hata mimi pia hadi wakati huu ninapoandika makala niko njema kabisa. Hili ni jambo la kumshukuru Mungu wetu. Leo katika mfululizo wa makala zetu nimependa kuja na swali hili, “IKO WAPI NDOTO YAKO?” Kama unavyojua sote tulizaliwa na ndoto/maono ya kufanya au […]

Kuwa wa Kipekee maana wewe ni wa Pekee

Habari ya leo ndugu msomaji wetu mzuri ni matumaini yetu kuwa unaendelea vyema na maisha yako. Karibu tuanze week end kwa kujifunza pamoja. Kuwa wa kipekee maana wewe ni wa pekee. Tunasema wewe ni wa pekee maana hakuna mwingine kama ww huku duniani hata kama mnafana sura na majina. Wewe unayo nafsi yako peke yako […]

Penda Mafanikio ya Wengine

Ukitaka kufanikiwa penda mafanikio ya wengine. Habari ndugu msomaji wetu ni matumaini yangu unaendelea vyema. Leo tunazungumzia kuhusu mafanikio.Kila mmoja wetu anatamani kufanikiwa pale mahali alipo. Nikuulize swali hua unafurahia mafanikio ya wenzako? Ukitaka kufanikiwa penda mafanikio ya waliofanikiwa. Huwezi kuwa na kitu unachokichukia huwezi kua tajiri kama unawachukia matajiri. Wiki iliyopita nilikua na rafiki […]

Msaada wako utatoka wapi wakati wa shida?….

Habari ndugu msomaji wa mtandao huu karibu tena katika makala ya leo. Ni matumaini yangu unaendelea vyema na maisha yako. Leo ningependa tujiulize swal moja… Msaada wako utatoka wapi wakati wa shida? Karibu sana. Katika hali ya kawaida najua hii wengi wanayo unapopata tatizo la kifedha leo ni nani wa kwanza kumfikiria wa kukupatia fedha […]

Leo Ndio Yako…

Habari ndugu msomaji wa makala zetu. Ni matumaini yangu unaendelea vyema na mapambano ya maisha. Tunamshukuru Mungu tunapokea ujumbe kwenu kua makala hizi zinafundisha. Tutaendelea kufanya hivyo kwa utukufu wa Mungu. Leo ndio yako  huna siku nyingine uliyonamatumaini nayo zaidi ya leo. Kwa kama kuna jambo umeliweka kwenye ratiba ya leo lifanye kwa bidii zote […]

Hakikisha Siku haipiti hujafanya haya…..

Habari za leo ndugu msomaji wa blog yetu. Ni matumaini yangu unaendelea vizuri katika maisha yako. Tunakuombea Mungu ufanikiwe. Leo tunangalia vitu vya kufanya  ili uweze kuendelea kufanya mambo na ufanikiwe ” ISIPITE SIKU HATA MOJA HUJAONGEZA THAMANI YAKO”  Katika maisha yako jitahidi siku nzima isipite hujafanya mambo haya yaani ili kuongeza thamani yako kwako […]