#HEKIMA YA LEO: Kuwa Sehemu Ya Tukio.

Habari Rafiki, Leo ni siku nyingine tena ambayo tumepewa kama zawadi kwa ajili ya kwenda kuyafanya Maisha yetu yawe bora Zaidi. Jisemeshe Maneno Haya Kabla Hujatoka Kwenda kufanya Chochote. “NACHUKUA HATUA, NAJIFUNZA, NAWEKA JUHUDI NA BIDII, NAVUMILIA. MAFANIKIO NI HAKI YANGU, EEH MUNGU NIWEZESHE.” Kuna msemo usisubiri embe chini ya mnazi. Yaani kile unachokitaka siku […]

#HEKIMA YA JIONI: Mtazamo Wako ndio Unaamua Ugumu au Urahisi wa Kitu.

Mtazamo ni vile ambavyo mtu amejengewa au amejijengea maana fulani au imani fulani juu ya jambo fulani. Mtazamo waweza kutengenezwa kutokana na mazingira unayoishi vitu unavyosoma, kutazama na kufuatilia. Mtazamo pia unaweza kutengenezwa na aina ya watu unaojihusisha nao kila siku. Mfano unakaa na watu ambao wanasema hawawezi kuuza bidhaa kwa kumfata mtu na kunwelezea […]

#HEKIMA YA JIONI: Kutazama Miguuni Ili Usijikwae Kunaweza Kukupoteza Unapoelekea

Uking’atwa na nyoka wakati mwingine ukiguswa na majani tu unaweza kushtuka na kudhani ni nyoka tena. Inapotokea umepatwa na changamoto uanatakiwa usikubali ziwe sababu ya wewe kuendelea kutembea ukiwa na umakini wa hali ya juu kiasi kwamba ukasahau kutazama kule unakotaka kufika.   Unaweza kuingia kwenye biashara ukapata hasara kubwa kiasi kwamba ukaishia kuwa mtu […]

#HEKIMA YA JIONI: Kama Huna Uhakika Usiseme.

Wanadamu tumezoea kuongea sana, hasa kwa maneno tunayoyasikia kwa wengine. Ukweli ni kwamba maneno mengi ambayo tunaambiwa na wengine hatuna uhakika nayo kwa 100%. Hivyo basi lolote unaloambiwa juu ya mtu kama huna uhakika baki nalo moyoni mwako. Mara zote penda kujiuliza ni faida gani utaipata kwa kusema hayo maneno. Kama hakuna faida ambayo unapata […]

#HEKIMA YA JIONI: Nafasi Iliyoachwa Wazi.

Siku zote nafasi iliyoachwa wazi ndio inatumika kwa mabaya au mazuri. Kukiwa kuna nafasi iliyoachwa wazi kwenye mahusiano inaweza kusababisha mahusiano kuvunjika endapo atatokea mtu na kujua namna ya kuitumia vyema nafasi hiyo. Nafasi iliyoachwa wazi kwenye biashara inaweza kuwa sababu ya wewe kushindwa kibiashara na mshindani wako endapo ataamua kuitumia vyema na kwa wateja […]

WEWE NI MZALISHAJI AU MTUMIAJI/MLAJI?

Kwenye dunia ya sasa kuna vitu vingi sana vinazalishwa kila siku na kila wakati vinagunduliwa vipya. Kitu kimoja kinachonifurahisha zaidi ni kwamba tuna watumiaji wengi sana ambao hawaachi kitu kipya kije bila wao kutumia. Jiulize leo unatumia vitu vingapi na kwa faida gani? Tuanze na mitandao ya kijamii pamoja na vifaa vyake. ⚠Umenunua laini ambayo […]

#HEKIMA YA JIONI: Shuka Chini.

Kuna nyakati ukitaka kupanda juu Zaidi ya wengine lazima ukubali kushuka chini. Unakubali kuonekana mtumwa kwa siku chache ili uweze kupata yale ambayo yatafanya Maisha yako ya badae yabadilike kabisa.  Kushuka chini na kunyenyekea haimaniishi ufanye mambo ya hovyo ambayo yanaondoa utu wako bali ni ukubali kufanya mambo halali haijalishi yanaonekana ni ya hadhi ya […]

#HEKIMA YA JIONI: Kama Unavyoitaka Pumzi Ndivyo Unavyotakiwa Kuyataka Mafanikio.

Kulikuwa na kijana mmoja alikuwa anataka mafanikio sana. Akamfuata Mentor wake na kumuomba amuelekeze ili na yeye aweze kufanikiwa. Mentor wake akamwambia kesho tukutane ufukweni mwa bahari asubuhi. Yule kijana akajisemea moyoni mwake, “mimi nataka mafanikio na pesa lakini ameniambia tukutane ufukweni kwani nimemuomba anifundishe kuogelea?” akasema tena, “kwa vile nataka pesa na mafanikio nitakwenda.” […]

#HEKIMA YA JIONI:  Jifunze kwa Mwindaji Na Mfugaji.

Maisha ya mwindaji na mfugaji yanaweza kuwa mfano mzuri sana kwenye Maisha yetu ya kila siku na kama tutaweza kuwatazama vizuri watu hawa tunaweza kujua tupo upande upi. Mwindaji. Mtu wa aina hii siku zote anatumia nguvu Zaidi katika matendo yake. Ili aweze kuwinda lazima atumie nguvu zake. Mtu wa aina hii anawaza Zaidi kula […]

#HEKIMA YA JIONI: USIKUBALI KUWA MFUNGWA KWENYE FIKRA ZA WENGINE,

Unaweza kuwa na kila kitu ambacho wengine kwa nje wanaona ni kizuri lakini kumbe yote hayo ni matokeo ya mawazo ya watu wengine juu yako. Kama unachokifanya hakijatoka ndani yako utaishi Maisha yako yatakuwa ni kifungo cha mawazo ya wengine . Kutokana na maoni ya watu wengine juu ya Maisha yanavyotakiwa kuwa umejikuta upo ndani […]