Faida 5 utakazopata ukijiunga na Semina.

Ukiacha Maarifa utakayopata ndani ya semina hii kuna faida zifuatazo.
1. Ushauri na Mwongozo
Utajipatia Ushauri na Mwongozo kwa chochote utakachokua unakifanya ndani ya Mwaka 2017 bure kabisa.
2. Utajifunza namna ya Kuacha Tabia zisizofaa zinazokurudisha nyuma kwenye kufikia mafanikio.
Hii itakua ni Mwongozo wa Mwaka mzima pamoja na Mazoezi ya kuacha Tabia mbalimbali na kutengeneza Tabia za watu waliofanikiwa.
3. Utajipatia vitabu mbalimbali vya kusoma kwa Mwaka 2017 vinavyoendana na kile unachofanya. Hapa tutakuchagulia vitabu bora vya kusoma kulingana na kile unachoenda kukifanya. Vitabu hivi vitakua katika mfumo wa audio na Softcopy.
4. Kwenye somo la Ujasiriamali tutaandaa Shindano la kuandika wazo la biashara. Mshindi atajipatia Bure Blog yake ambayo itamwezesha aanze kufanya wazo la biashara.
5. Utapata Nafasi ya Kupokea Makala za Kila wiki ndani ya Blog yetu ya Inuka Uangaze.
Kwanini ukose yote hayo kwa Kiasi kidogo tu cha shilingi elfu tano?  Jiunge sasa na Fanya malipo uwekwe kwenye group la wasap.
Fanya Malipo  kwenye namba hizi
Mpesa… 0753836463
Tigo Pesa… 0656110906
Majina ni Joas
Kisha Tuma Ujumbe wenye neno Semina kwenda namba hizo.
Mwisho wa Kujiunga ni tarehe 30/12/2016.
Karibu sana
Jacob Mushi
jacobmushi
Jacob Mushi is a Tanzanian Author, Minister, Entrepreneur, Founder and CEO of NETPOA.

Discover more from Jacob Mushi

Subscribe now to keep reading and get access to the full archive.

Continue reading