Connect with us

Faida za Audio Books.

USIISHIE NJIANI

Faida za Audio Books.

Pamoja na Maarifa makubwa unayoyapata katika vitabu hivi hizi ni faida chache unazoweza kuzipata ndani ya Audio Books. 1. Kuokoa muda.Mara nyingi umekua bize na kazi na unashindwa hata kufanya mambo mengine muhimu. Vitabu hivi vinaokoa muda wako unaweza kusikiliza wakati upo kwenye gari unasafiri au kwenda kazini.Ukiwa nyumbani umechoka unaweza kusikiliza vitabu hivi. 2. […]

Pamoja na Maarifa makubwa unayoyapata katika vitabu hivi hizi ni faida chache unazoweza kuzipata ndani ya Audio Books.

1. Kuokoa muda.
Mara nyingi umekua bize na kazi na unashindwa hata kufanya mambo mengine muhimu. Vitabu hivi vinaokoa muda wako unaweza kusikiliza wakati upo kwenye gari unasafiri au kwenda kazini.
Ukiwa nyumbani umechoka unaweza kusikiliza vitabu hivi.

2. Watu wenye matatizo ya macho wanaweza kusikiliza vitabu hivi hata kama huna tatizo la macho pia.

3. Kuokoa gharama
Vitabu hivi vipo 25 kwa bei ya Tsh 25,000 Ukisema ukanunue Hardcopy moja utauziwa kwa  zaidi Tsh 20,000/=  moja ya vitabu nilivyoweka hapo.

4. Unaweza Kusikiliza popote ulipo.
Vitabu hivi unaweza kusikiliza popote ulipo na kwa kifaa chochote kinachoplay music hata kama una simu ya mchina inayoingia memory card unaweza kusikiliza.

5. Kuongeza uwezo wako wa kuzungumza lugha ( English)
Vitabu hivi vinakupa wewe uwezo wa kuzungumza lugha ya kiingereza vizuri kwani utakutana na misamiati mipya na namna ya kutamka vyema,

Zipo faida nyingi sana za vitabu hivi ukiachana na maarifa ambayo unayapata.
 Chagua vitabu hivyo Hapa 
Wasiliana nami kwa 0654726668

Continue Reading
You may also like...

Jacob Mushi ni Mwandishi wa makala, nukuu na vitabu vya Maisha na Mafanikio, Kocha wa Maisha na Mjasiriamali. Kiu yake kubwa ni kuona wewe unakuwa mtu bora, unatimiza ndoto zako na unaishi Maisha ya mafanikio. Kazi yake kubwa ni kuhakikisha wewe hauishii Njiani kwenye lile kusudi ambalo Mungu ameweka ndani yako.

Click to comment

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *

More in USIISHIE NJIANI

To Top