HATUA YA 20: Andika Historia.

jacobmushi
By jacobmushi
1 Min Read
Kila hatua unayopita hakikisha huachi hivi hivi, Hakikisha uneacha alama.
Ni changamoto unapitia Hakikisha haikuachi hivi bure, utoke na cha kujifunza, Hakikisha Unatoka na hadithi Nzuri ya kuwaeleza watu.
Maisha yetu yamefungwa kwenye muda, kadiri tunavyotumia muda ndio tunavyomaliza kuishi. Kila unachokifanya Hakikisha kinaacha alama.
Watu unaokutana nao Hakikisha unawaacha wakiwa wa tofauti. Hakikisha unawaachia kitu cha kujifunza kwako.
Kumbuka: Kila siku ni siku ya kufanya kitu cha tofauti kwenye Maisha yako. Usikubali siku ipite hivi hivi.
Karibu sana
Your Partner in Success 
Jacob Mushi 
Entrepreneur & Author 
Phone: +255 654 726 668/+255 755 192 418 
Email: jacob@jacobmushi.com  
Blogs: www.jacobmushi.com,  www.jacobmushi.com
jacobmushi.com.
Share This Article
Follow:
Jacob Mushi is a Tanzanian Author, Minister, Entrepreneur, Founder and CEO of NETPOA.
Leave a comment

Andika Maoni Yako Hapa

Discover more from Jacob Mushi

Subscribe now to keep reading and get access to the full archive.

Continue reading