Jipatie Maarifa haya Ndani ya Siri 7

By | November 12, 2016
Habari, Jipatie kitabu Siri 7 za Kuwa Hai Leo na ujifunze mambo haya yafuatayo.

1.    Tambua kwanini upo Hai Leo na uweze kutumia nafasi hiyo kutengeneza Historia mpya ndani ya Dunia hii.
2.    Kuna mambo mengi tunayafanya, kupitia Siri hizi utaweza kutambua kwanini unatakiwa umalize ulichokianza.
3.    Kwenye Siri 7 pia utajifunza namna ya kutengeneza ulipoharibu. Kuna makosa mengi umefanya katika maisha yako,  umewaumiza wengi kwa kujua na kutokujua. Hapa utaweza kujua namna ya kutengeneza upya.
4.    Kulitambua kusudi lako la kuwepo duniani. Hakuna mwanadamu aliyeko bila sababu. Kila mtu yupo kwa kusudi maalumu hivyo utaweza kutambua namna gani ya kujua kusudi lako na kuendelea kuliishi hadi ufikie utimilifu.
5.    Utajifunza namna ya kutumia zawadi zilizopo ndani yako. Upekee uliozaliwa nao,  nguvu ya kuvumbua mambo mbalimbali kutokana na kile unachokifanya.
6.    Utajifunza jinsi ya kugusa maisha ya wengine kupitia kile unachokifanya.  Kwani kwa kugusa maisha ya wengine ndiko Kwenye utajiri na kila kitu tunachokitafuta hapa duniani.
Karibu sana ujipatie kitabu hiki ujifunze mengi zaidi.
Popote ulipo unaweza kukipata kitabu kwa Tsh elfu Kumi tu (10,000/=)
Wasiliana nami kwa namba 0654726668 kukipata kitabu hiki.
Karibu sana.
Jacob Mushi
Entrepreneur and Author.
Blog: www.jacobmushi.com
Email: jacob@jacobmushi.com
Phone: 0654726668

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *