HUDUMA ZA KOCHA

Karibu kwenye mtandao wa Jacob Mushi ambao una lengo la kukuwezesha uwe bora na ili uweze kusonga mbele katika kufikia mafanikio makubwa na kutimiza ndoto zako. Na hizi ni huduma tunazotoa.

  • Makala na Nukuu

Kwenye Mtandao wa JacobMushi (www.jacobmushi.com) kuna makala zaidi ya elfu moja ambazo zipo kwenye makundi mbalimbali kama Biashara, Ujasiriamali, Maendeleo Binafsi n.k ambazo zitakusaidia uweze kupiga hatua katika maisha yako. Vile Vile kwenye Mtandao wa Instagram kuna nukuu zaidi ya elfu moja ambazo ninaandika kila siku nukuu hizi zimegusa maisha ya wengi unaweza kutembelea na ukajifunza ukanufaika bure kabisa. Nifuate Instagram hapa www.instagram.com/jacobmushi.

  • Vitabu vya Maisha na Mafanikio.

Kwenye mtandao huu utajipatia vitabu mbalimbali maisha na mafanikio ambavyo vimeandikwa na Kocha Jacob Mushi. Vitabu hivi vitakuwezesha upige hatua kubwa kuelekea kwenye mafanikio makubwa. Kupata vitabu hivi BONYEZA MAANDISHI HAYA

  • GHALA LA MAARIFA

GHALA LA MAARIFA Ni huduma ninayotoa ya mafunzo kwa njia ya kundi la WhatsApp ambapo unapata mafunzo ya kukufanya uwe bora zaidi katika maisha na uweze kufikia mafanikio makubwa.

Utajifunza UWEKEZAJI, Biashara na SIRI mbalimbali za mafanikio. Kila siku unakuwa unapata Makala za hekima pamoja na NUKUU za kukufanya uanze siku yako na HAMASA KUBWA. Makala na Nukuu hizi ni bora zaidi na hazipatikani sehemu nyingine zaidi ya kwenye kundi pekee.

Gharama za kuwepo kwenye kundi hili ni Tsh 50,000/= (elfu hamsini) kwa mwaka mzima. Mwaka unahesabiwa kuanzia tarehe uliyolipa ada.

  • PERSONAL COACHING

Huduma hii ni mimi kuwa kocha wako kwa kipindi cha mwezi mmoja ambapo unakuja na jambo lako unalotaka nikukochi na tunalifanyia kazi kwa mwezi mmoja.

Kwa kupitia huduma hii ninakuwa nakufuatilia kwa karibu na kuhakikisha kile ambacho umepanga kufanya unakitekeleza.

Gharama za kupata huduma hii ni Tsh 100,000/= (laki moja) ada hii unalipia kabla ya kupata huduma.

Kama umekuwa unafanya jambo na kujikuta unaishia njiani huduma hii itakufaa sana na utaona mabadiliko makubwa.

  • Tovuti/Blog

Kocha Jacob anaendesha mtandao unaojulikana kama NetPoa ambao unawasaidia wajasiriamali pamoja na wafanyabiashara kumiliki tovuti na blog kwa gharama nafuu na kutengeneza kipato kwa njia ya mtandao. Kwa maelezo zaidi BONYEZA MAANDISHI HAYA.

MAWASILIANO:

Kupata Huduma hizi wasiliana nami kwa Namba za Simu +255 654 72 66 68 (WhatsApp) au +255 755 19 24 18 au kwa kupitia Barua Pepe jcobtz@gmail.com.

Karibu sana tufanye kazi pamoja ili uweze kufikia mafanikio makubwa. Usikubali kuishia njiani.