• S1E8: Mama Usimtukane Mwanao.

  Nilikuwa napita katika mitaa ya uswahilini hapa Tandika, sasa nikakutana na mama mmoja anamwogesha mwanae wa kiume. Sasa yule mtoto akawa anasumbua sumbua, yule mama akamporomoshea matusi mazito ya nguoni. Yaani alimuita viungo vyake yeye mwenyewe vya siri, nilisikitika sana, nikawaza huyu mtoto akija kupata akili sawasawa akaja kujua maana ya kile anachotukanwa na mama more

 • S1E7: Nyama Kilo 1 ni Tsh elfu moja.

  Embu jiulize leo bei ya nyama kilo moja ni Tsh elfu tano hadi elfu saba kulingana na maeneo, sasa ukipita mahali ukakuta kuna nyama ya ng’ombe safi kabisa imenona wanauza kilo moja shilingi elfu moja utavutiwa kwenda kununua? Jibu rahisi sana na ambalo kila mmoja atafanya ni HAPANA. Na itakuwa hapana kwasababu haiwezekani nyama iuzwe more

 • S1E6: Msikilize Mungu.

  Wanadamu wana tabia ya kuongea bila kufahamu na ukifanya makossa ukawasikiliza wanaweza kukupoteza. Tukimtazama kijana Daudi aliekuwa mchunga kondoo porini, baba yake na ndugu zake walimchukulia kama mchunga kondoo, na kijana mdogo tu. Lakini Mungu mwenyewe alikuwa ameshamchagua kuwa mfalme wa Israel. Kwa akili za kibinadamu mara zote tunatazama nje. Watu wakikutazama kwa nje wanaona more

 • S1E5: Sio Kuringa, Ni Kwa Usalama Wako.

  Kuna zile nyakati katika Maisha unakuwa katika kupambana huku na kule ili japo upate namna ya kuweza kuinuka na kufikia hatua Fulani ya Maisha. Sasa kuna changamoto nyingi huwa unapitia na mojawapo ni vile watu wanavyokuchukulia. Katika marafiki zako au ndugu kuna wale ambao kwenye akili zako unaanzaga kuwaweka kama ambao utawategemea hivi.  Huenda ni more

 • S1E4: Kutafuta Samaki Msituni.

  Jaribu kuvuta picha upo katikati ya msitu, unatafuta samaki. Umejipanga kila kitu unacho, una chambo za kutosha, una vifaa vya kubebea na pia una hamasa na nguvu za kutosha kutafuta samaki. Kitu kimoja ambacho kitakufanya uendelee kuwatafuta samaki Maisha yako yote ni kwamba ulikuwa huna ufahamu kwamba samaki hawapatikani msituni wanapatikana majini. Haijalishi utakuwa na more

 • S1E3: Ikatokea Umesahau Kila Kitu.

  Jiunge na Mtandao Huu Uwe Unapokea makala nzuri kama hii moja kwa moja kwenye email yako Weka email Yako hapa Endapo itatokea umelala kisha ukaamka hukumbuki kitu chochote kuhusu wewe yaani unachoweza kufanya ni kuongea tu. Lazima utajikuta katika hali ya kujiuliza maswali mengi sana ambayo kwa haraka haraka hayatakuwa na majibu. Swali la kwanza more