Kwa mwezi huu wa March na April tunatoa OFA ya Punguzo la ujenzi wa Greenhouse.
Ni punguzo la gharama ya ya ujenzi wa Greenhouse. Punguzo la bei litakua kuanzia 10% hadi 30% kutegemeana na ukubwa wa greenhouse.
Vilevile ofa hii itaambatana na Ongezeko la vifaa au huduma, mfano tank la maji, kuunganisha na soko nk.

Greenhouse: Ukubwa wa Greenhouse na bei zake:
Mita 8 kwa 15 – Milioni 5.5 (badala ya milioni 6)
Mita 6 kwa 24 – Milioni 6 (Badala ya milioni 6.5)
Mita 8 kwa 30 Milioni 12.5 (badala ya milioni 14.5)
Mita 16 kwa 30 -Milioni 16 (badala ya milioni 19.5)
NET HOUSE: Hizi zinafaa sana kwa yale maeneo ya joto.
Mita 8 kwa 15 Milioni 5 (badala ya 5.5m)
Mita 6 kwa 24 – Milioni 5.5 (Badala ya milioni 6)
Mita 8 kwa 30- Milioni 10 (badala ya 12.5m)
Mita 16 kwa 30 Milioni 14 (Badala ya 17.6m)
NB: Tutakufungia Ukubwa wowote unaotaka kulingana na bajeti yako. Tuambie bajeti yako, nasi tukushauri size ya greenhouse inayokufaa.
Pamoja na Punguzo la bei, vilevile Package ya greenhouse au nethouse itakuwa Na vitu vifuatavyo:
Kufungiwa mfumo wa umwagiliaji matone( drip irrigation)
Kupewa mbegu au miche ya zao unalohitaji na yenye kutoa mazao mengi (hybrid seeds)
Kupima udongo (soil test)
Tank la maji. Tank lla kuanzia ujazo wa lita 100, 2000, 5000 nk kutegemeana na ukubwa wa Greenhouse
Kufungiwa crop support
Kupandiwa miche au mbegu -Unakabidhiwa greenhouse/Net House, ikiwa imekamilika ikiwa na mbegu au miche tayari.
Mbolea na madawa ya awali. Mteja atapewa mbolea na dawa za kuanzia msimu.

Utapewa Elimu ya Greenhouse/ Net House na Drip Irrigation. Tutatoa mafunzo kwa mfanyakazi wa Greenhouse
Kutembelewa na Kupewa ushauri wa mara kwa mara mpaka utakapoanza kuvuna
Tutakufuata popote pale ulipo Tanzania
Ikiwa Utahitajii Fursa hii ya OFA ya kufungiwa Greenhouse kwa Mwezi March au April basi wasiliana nasi mapema kabla ya tarehe 25.03.2019
Kwa Mawasiliano
Tucheki kupitia: 0763 071007