Habari Rafiki yangu, ni matumaini yangu kwamba unaendelea vyema na Maisha. Leo nataka nikupe zawadi nzuri sana ya kitabu. Kitabu ambacho utakisoma msimu huu wa siku kuu na kikusaidie uongeze Maarifa ya kuukabili mwaka 2019.
Ili upate zawadi hii mwishoni mwa Makala hii kuna sehemuimeandikwa JIUNGE NASI. Hapo utatakiwa uweke email yako na kisha ubonyeze neon Subscribebaada ya kubonyeza nenda kwenye email yako utakutana na ujumbe wenye zawadi yakitabu chako.
Baada ya kufungua ujumbe huo utaona link ya kupakua zawadi ya kitabu chako. Na baada ya link hiyo utaona neon linguine limeandikwa Confirm Follow sasa hapa unakubali kujiunga na Usiishie Njiani ili uendelee kupokea Makala nzuri kama hizi kwenye email yako moja kwa moja.
Karibu sana Rafiki Yangu.
Ubarikiwe sana,
Nitafurahi kujifunza kwako kiongozi.
Karibu sana Rafiki