Nukuu za Maisha (Malengo, Mafanikio, Mahusiano n.k) ni Kitabu kinachokupa muongozo wa maneno ya kutafakari kila siku asubuhi ili uweze kuwa na siku bora na yenye mafanikio.
Kitabu hiki kina nukuu 400+ ambazo zinakupa uwezo wa kufikiri vizuri, kuishi kwa furaha na kuweza kusonga mbele katika kile unachokifanya.
Nukuu za Maisha ni mjumuisho wa nukuu za furaha, nukuu za mahusiano, nukuu za upendo, falsafa za maisha, nukuu za mafanikio, nukuu za biashara, nukuu za hamasa, nukuu za malengo, nukuu za kutia moyo, nukuu za kuongeza ujasiri, nukuu za kuongeza kujiamini na kadhalalika usiache kusoma kitabu hiki.
NUKUU ZA MAISHA ni mkusanyiko wa nukuu ninazoandika kwenye mtandao wa Instagram kila siku. Nimezikusanya zaidi ya 400 na utaweza kuzisoma kwenye kitabu kimoja.
Reviews
There are no reviews yet.