Habari za Leo Rafiki yangu Ni matumaini yangu unaendelea vyema. Kama tunavyojua kila mwaka unapoanza watu huuanza katika shamrashamra sana lakini ifikapo katikati watu husahahu kila kitu na kurudi katika maisha waliyozoea. Mwaka 2017 natamani uwe ni mwaka wa tofauti kwenye Maisha yangu na Yako. Hivyo basi wewe Rafiki yangu  Nimeamua kukuandalia semina kubwa sana ambayo itayafanya maisha yako yawe ya maana. Nimeamua kutaarifu mapema kabisa ili pasiwepo na sababu yeyote ya kukuzuia.


Karibu sana Kwenye semina Kubwa ya Mtandao itakayofanyika kwa njia ya mtandao. Semina hii itaendeshwa kwa njia ya mtandao yaani barua pepe pamoja na WhatsApp group mwanzoni kabisa mwa Mwaka 2017.
Usikubali kukosa semina hii kwani kuna mambo makubwa sana ambayo utayapata. Mambo hayo yatakuwezesha Mwaka 2017 usiwe tena wa majuto katika maisha yako.
Semina hii itaendeshwa na waalimu wanne ndani ya wiki nne za Mwezi wa kwanza. Kila Mwalimu atakwenda na wewe hadi ahakikishe umemuelewa. 
Semina hii pia itakwenda na wewe hadi Mwaka huu uishe ili kuhakikisha uliyojifunza kwenye Semina unayatendea Kazi. 

Semina hii utaigharamia gharama ndogo sana ya Tsh 5,000/= (elfu tano). Usikubali kupitwa tena na hili kwani maamuzi ni yako unaweza kuamua Mwaka uendelee kufanana na mwaka uliopita au ubadilishe kitu.

Fanya malipo kwenye Namba za Mpesa 0753836463 na Tigo Pesa 0656110906 Majina ni Joas Yunus. 
Ukishalipia Hakikisha Umewekwa kwenye group la WhatsApp. Mwisho wa Kujiunga na Semina hii ni Tarehe 30/12/2016
Waalimu Watakaofundisha
1. Lazaro Samweli
Ni Mhamasishaji,Mjasiriamali na Mwandishi wa Kitabu Cha Mwongozo Wa Maisha Bora.
Lakini pia ni Mwanzilishi Na Mwongozaji wa Kundi La Be Rich and Happy ambalo limejikita katika kubadilisha Fikra za watu Kuelekea katika Maisha Ambayo Wengi huwa wanatamani kuishi.
*ATAFUNDISHA SOMO LA KUJITAMBUA*
Huwezi kufanya chochote hapa duniani chenye maana kama hujitambui.

Mawasiliano
Simu: 0753616586
Barua pepe: lazarosamweli41@gmail.com
Blog:www.mindsetcreator.blogspot.com
2. Malumbo Sambala
Mwalimu wa Neno la Mungu
Mhamasishaji na Mwandishi
Pia ni Mwanzilishi wa huduma inayoitwa KGIM (Kingdom of God international Ministries) lakini pia ni mwongozaji wa vikundi vinavyohitwa Learning Zone na Become Yourself.
*ATAFUNDISHA SOMO LA MALENGO NA JINSI YA KUTAMBUA KIPAJI*
Kuweka Malengo na kuyafanyia Kazi. 
Kipaji ni biashara ukiweza kukitumia vyema.
Mawasiliano
Simu: 0655796353
Barua pepe: sambalamalumbo@gmail.com
Blog www.malumbosalambaministry.blogspot.com

3. Joas Yunus(Jyb)
Mwandishi na Mjasiriamali.
Mwongozaji wa kikundi cha wanamafanikio kiitwacho Kijana Jithamini.
Mwandishi wa Kitabu cha “INUKA” .
*ATAFUNDISHA SOMO LA UJASIRIAMALI*
Biashara gani itakayokutoa Mwaka 2017 kutokana na mazingira uliyopo.
Mawasiliano.
Simu: 0656110906
Barua pepe : yunusjoas@yahoo.com
Blog: www.kijanajithamini1.blogspot.com
4. Jacob Mushi
Mwandishi na Mjasiriamali.
Mwandishi wa Kitabu kiitwacho Siri 7 za Kuwa Hai Leo.
Ana andika makala za Kuhamasiha na Kufundisha kila wiki kwenye Blog Yake
Anaongoza kikundi cha Wanamafanikio Kijulikanacho kama Success Kingdom.
*ATAFUNDISHA SOMO LA MAONO*
Nguvu ya Maono. 
Umuhimu wa Maono.
Mawasiliano. 
Simu: 0654726668
Barua pepe: jacob@jacobmushi.com
Blog: www.jacobmushi.com
Usikubali kupitwa wala kuachwa nyuma Mwaka 2017 ni wako wa Mafanikio. Tumekuletea mapema kabisa ili uweze kujiandaa.

Bonyeza hapa Kujiunga
Karibu sana

Success Kingdom 

Jacob Mushi 

Entrepreneur & Author 

Phone: 0654726668 

Email: jacob@jacobmushi.com 

Blog: www.jacobmushi.com 

jacobmushi.com 

Andika Maoni Yako Hapa

Discover more from Jacob Mushi

Subscribe now to keep reading and get access to the full archive.

Continue reading