519; #HEKIMA Hii ndio Sababu ya Kupoteza Furaha.

β€œIt isn’t what you have or who you are or where you are or what you are doing that makes you happy or unhappy. It is what you think about it.”― Dale Carnegie, How to Win Friends and Influence People Mwandishi Dale Carnegie anasema katika kitabu chake kwamba, SIO KILE ULICHONACHO AU VILE ULIVYO AU […]

HATUA YA 254: Huwezi Kupokea Mabadiliko kwenye Akili ya Zamani.

Kama wewe ni mtumiaji wa simu na unatumia hizi apps najua utakuwa umekutana na kitu kinakwambia update. Maana yak update ni kama kuboresha au kuongeza kitu kipya kwenye ile apps ya zamani. Watengenezaji wa apps hizi wanakuwa wameweka mambo mapya ndani ya apps sasa ili uyaone na kuyatumia hayo mambo mapya au muonekano mpya lazima […]