Tag Archives: amani ya moyo

HEKIMA 518; Usipokee wala Kutoa Ushauri Wowote.

Kulikuwa na Bwana Mmoja alikuwa anafanya biashara ambayo inamlazimu sana kuzungumza na watu kila wakati. Yaani ili auze lazima aongee na mtu. Sasa kwasababu hiyo akajikuta anashauriwa sana na watu wengi. Kila mtu anaekutana nae anajaribu kumwelekeza njia nzuri ya kuifanya biashara yake. Siku moja akatafuta mtu mwenye hekima ili amshauri juu ya ushauri anaopokea… Read More »