#USIISHIE_NJIANI: HOFU YA KUTOKUJUA.

Habari rafiki, siku yako umeanzaje. Siku zote mtu anakosa ujasiri hasa pale anapokuwa na taarifa chache kwenye kile anachokifanya. Mfano unaweza kuogopa kuanza biashara kwasababu tu ya kutofahamu mambo ya muhimu juu ya  biashara. Ili uweze kuishinda hofu hii unapaswa kujifunza vitu Zaidi kwenye kile ulichoamua kukifanya. Hii itakusaidia wewe kuwa na taarifa za kutosha […]

#USIISHIE_NJIANI: DUNIA INAKUTAZAMA.

Wakati unaanza ulianza kwa mbwembwe na kelele nyingi, ulipenda kila mmoja ajue kwamba unaanza biashara au kipaji chako. Kuna waliokupinga, waliokukatisha tamaa, waliokutia moyo, waliosema umechagua njia sahihi. Naomba nikukumbushe kwamba bado dunia inakutazama yale uliyosema utafanya bado wanaakuchungulia kama ni kweli yatatokea au lah. Kama utakubali kukata tamaa utakuwa umewathibitishia wale waliosema kwamba huwezi, […]

HATUA YA 1. Kupiga Hatua Kuna Gharama.

Kwenye safari yetu ya mafanikio kuna vitu vingi tunafanya ili tusonge mbele kila wakati. Ili mtu atoke sehemu moja aliyokuwepo na kusogea mbele anahitaji kulipa gharama. Sio kitu kirahisi kama unavyoweza kufikiri ndio maana sio wote wanaweza.  Watu wengi huingia kwenye biashara au huanza vitu vipya na kutegemea matokeo bila kulipia gharama yeyote. Kama ilivyo […]