KITABU: Mwongozo wa KILIMO CHA TIKITI MAJI

Baadhi ya Yaliyomo kwenye Kitabu hiki: Utajifunza shughuli zote za shambani kuanzia kuandaa shamba, upandaji, umwagiliaji, uwekaji mbolea, palizi, uvunaji n.k Vigezo vya kuzingatia katika uchaguaji wa shamba zuri pamoja na mbegu nzuri Utawafahamu Wadudu waharibufu na namna ya kuwadhibiti kikamilifu, pia Magonjwa yanayoathiri sana tikiti maji na namna ya kuyathibiti Utajifunza uchavushaji (pollination) kwenye […]