HATUA YA 325: Ukisikia Biashara Inalipa Sana…

Imekuwa ni kawaida sana kusikia watu wanasema biashara fulani inalipa sana au fursa Fulani ukifanya lazima utoke. Ndio inawezekana ni kweli ukifanya utatoka, mfano ni msimu ambao mahindi ya kuchoma yanahitajika sana mjini halafu hayapo. Ukiingia kwenye hiyo fursa na ukaweza kuyapata mahindi kwa bei rahisi ukaja kuyauza kwa bei ghali unajikuta umepata pesa ya […]

KONA YA BIASHARA: Ukipoteza Hii Inakuja Nyingine.

Kuna nyakati kwenye Maisha unaweza kujiona umepoteza vitu vikubwa sana na ukaanza kuona kama Maisha hayana maana tena. Unachopaswa kutambua ni kwamba kila kinapoondoka kitu basi kuna kitu kingine kipya kinatokea. Mti unapokauka unakuwa umetoa nafasi kwa miti mingine mingi midogo kukua vizuri. Chochote kinachoondoka kwenye Maisha yako kinatengeneza nafasi iliyowazi kwa ajili ya vitu […]