398: Kuwa Mkweli Kwako Kwanza.

Unaweza kuwadanganya wengine lakini huwezi kujidanganya wewe mwenyewe. Ndani ya nafsi yako unajua ukweli ni upi. Ndani ya nafsi yako unajua kama Maisha unaigiza au ni kweli kile ambacho unakionesha. Mojawapo ya vitu vinavyowatesa wengi ni kujaribu kujidanganya wenyewe, unakuta unajua kabisa Matendo yako hayaashirii kabisa kile ambacho unataka lakini unajitia moyo wa uongo kwamba […]

#HEKIMA YA LEO: Tafuta Kawaida Nyingine Kila Wakati.

Bonyeza hapa upate offa ya Vitabu Bora Mwezi April. https://jacobmushi.com/offa-offa-offa-ya-vitabu-bora-mwezi-april/ Tafuta kawaida nyingine kabla hiyo uliyoipata hujaizoea. Mwanzoni unaweza kuona kuna ugumu wa kutimiza jambo Fulani lakini ukishalitimiza unaanza kugundua kumbe ilikuwa ni hivi. Mtoto anapoweza kutambaa hatakiwi kubakia kwenye kutambaa yaani akishazoea tu kutambaa basi anatakiwa aanze kujifunza kusimama na kisha kutembea na kukimbia […]