HATUA YA 309: Hiki Ndio Kisasi Bora kwa Adui Zako.

Huwezi kuondoa chuki kwa kuchukia, kama mtu akikutendea ubaya wewe ukimtendea ubaya unakuwa huna tofauti na yeye. Huwezi kuzima moto kwa kuuongezea vichocheo vinavyoufanya uendelee kuwaka. “The best revenge is not to be like your enemy.”  ― Marcus Aurelius, Meditations Mwanafalsafa huyu Marcus aliwahi kusema “Kisasi cha kweli ni kutokuwa kama adui Yako” Yaani watu wanaopambana kukuangusha […]