Vinavyowezekana na Visivyowezekana.

Mara nyingi tunapenda Zaidi kufanya yale ambayo yanawezekana kwenye uwezo wetu wa akili. Sio vibaya lakini unakuwa hakuna cha tofauti ambacho utakipata. Watu wote ambao wameweza kugundua mambo makubwa na yakaleta mapinduzi kwenye dunia na kwenye Maisha yao walijaribu yale ambayo yalionekana kama hayawezekani kabisa. Vile vyote ambavyo vinawezekana vinakufanya wewe uwe sawa na wengine […]