#HEKIMA YA JIONI: ISHI KWA KUJIAMINI.

Usiwaweke wengine juu kwa yale mazuri waliyonayo na wewe ukajiweka chini. Hata wewe una vitu vizuri pia ndani yako. Usijisikie vibaya kwa kuona zile zawadi zilizoko kwa wengine ukasahau kwamba na wewe pia una zawadi nyingi ndani yako. Una vipaji ndani yako, Mungu amekuumba uweze kutumia vitu hivyo hapa duniani. Usijiweke chini kwasababu unawaona wengine […]