KITABU: Mafanikio Kwenye Biashara.

Kitabu hiki kimebeba uhalisia wa Maisha ambayo nimeishi na kujifunza kutoka kwa wengine. Pamoja na kitabu hiki kubeba mambo mengi mazuri sana, bado inakupasa wewe uwe mchukuaji wa Hatua kwa kila unalojifunza ndani ya kitabu hiki. Usiishie kusoma na kuburudika kama msomaji wa hadithi bali uweze kuchukua Hatua hata kama ni ndogo lakini inayoleta mabadiliko kwenye […]