KITABU; Siri 7 za Kuwa Hai Leo

Kitabu hiki nimeandika kwa ajili yako. Kuna mambo mengi sana ya kujifunza ndani ya kitabu hiki na nina imani kitakua ni sababu ya wewe kusogea katika eneo lile ulilokua na kwenda mbele Zaidi. Utajifunza, Jinsi ya Kujua Kusudi Lako, Siri na Sababu za Kuwepo Hapa Duniani, Kugusa maisha ya wengine, Kufikia Ukuu, Kufika kilele cha Mafanikio, […]