KANUNI YA  10× INAVYOWEZA KUKUFANIKISHA KWENYE MAONO YAKO.

Unafahamu pamoja na kuwajua watu wengi sana katika Maisha yako kuna watu angalau 10 tu ambao wanaweza kuwa tayari kukuinua pale unapokuwa umeanguka chini? Mtu wa kawaida kabisa ana watu wake wa karibu 10 ambao wapo tayari kununua au kuchangia kila anachokifanya. Ukweli ni kwamba hawa kumi wanaweza wasitoshe kununua bidhaa yako au kulipia huduma […]