HATUA YA 307: Huu Ndio Uhuru Wa Kweli.

Uhuru sio kuamua kufanya unachokitaka bila kupangiwa au kusimamiwa na mtu yeyote. Endapo ingekuwa ni hivyo basi kungekuwa na uharibifu mkubwa kwasababu ya asili yetu wanadamu. Wanadamu tuna asili ya kutokutosheka na pia ukichanganya na wale walio na nia zisiozo nzuri unakuwa unatengeneza uharibifu Zaidi. Pamoja na kwamba unaweza kuwa na nguvu nyingi sana za […]

Mambo 5 Yanayoonyesha Unachokifanya Sio Kusudi Lako

Habari za leo Rafiki yangu wa Muhimu sana. Natumaini leo yako inaendelea vyema. Tunakwenda kuangalia mambo matano yanayoonyesha kua unachokifanya sio kusudi la wewe kuwepo duniani. Karibu ujifunze pamoja name. Kukosa furaha. Kama unachokifanya hakikufanyi unakajisikia furaha ndani ya moyo wako yaani hufurahii kukifanya moja kwa moja hilo sio kusudi lako. Kaa chini tafakari ujue […]

NGUVU YA TAARIFA KATIKA MAONO NA NDOTO ZAKO.

Habari Rafiki,  natumaini unaendelea vyema.  Pole na majukumu mbalimbali ya kutimiza kile kinachokufanya uwepo hapa duniani. Leo tunakwenda kutazama Nguvu ya Taarifa Juu ya Maono na Ndoto  zetu.  Kama tunavyojua katika ulimwengu wa sasa mawasiliano yamekua rahisi sana.  Na hii imeletwa na mapinduzi ya teknolojia yanayoendelea kuvumbuliwa kila siku.  Ninafurahishwa sana na teknolojia mpya zinazotokea […]