HATUA YA 330: Kinachokufanya Uogope Kifo Ni Kipi?

Katika mambo ambayo kila mwanadamu ana uhakika kwamba lazima yatokee kwenye Maisha yake mojawapo ni kifo. Kila mmoja anajua kwamba ipo siku ataondoka duniani, japokuwa hakuna ajuae ataondoka siku gani na kwa njia ipi. Kinachoshangaza sana ni watu ambao wanakuwa na hofu sana wakiwaza juu ya kifo au siku ya kufa kwao. Hii inatokana na […]

HATUA YA 299: Kama Unafanya Hivi Umeshatoka Nje ya Kusudi.

Ikifika mahali kila unachokifanya hutaki kusikiliza wengine, kushauriwa wala kukosolewa ujue kwamba unalolifanya umeshapotea njia. Hii ni kwasababu karibu kila tunalolifanya hatufanyi kwa ajili yetu bali kwa ajili ya wengine. Haijalishi wewe una kipaji kikubwa kiasi gani unaimba vizuri sana haujiimbii wewe mwenyewe unaimba ili watu wasikie kile unachokitoa. Kama umefikia sehemu ambayo wale ambao […]

#USIISHIE_NJIANI- UNASUKUMWA NA NINI KUFANYA UNACHOKIFANYA?

Habari rafiki, siku yako umeianzaje? Hakikisha unasali, unasoma kitabu, unapitia maono na malengo  yako na unafanya mazoezi. Hii itakufanya uwe na siku bora yenye uzalishaji. Mtu mmoja akaniuliza kwamba “ tunatafuta pesa za nini kama tutaondoka na kuziacha zote?” Akanieleza hadithi ya rafiki yake aliekuwa mpambanaji kweli ikafikia kipindi pesa ndio zilikuwa zimeanza kuingia mikononi […]

Mambo 5 Yanayoonyesha Unachokifanya Sio Kusudi Lako

Habari za leo Rafiki yangu wa Muhimu sana. Natumaini leo yako inaendelea vyema. Tunakwenda kuangalia mambo matano yanayoonyesha kua unachokifanya sio kusudi la wewe kuwepo duniani. Karibu ujifunze pamoja name. Kukosa furaha. Kama unachokifanya hakikufanyi unakajisikia furaha ndani ya moyo wako yaani hufurahii kukifanya moja kwa moja hilo sio kusudi lako. Kaa chini tafakari ujue […]