531; Ni Hatua Ndogo Ndogo.

Kinachoangusha mtu sio shoka moja lilipigwa kwa nguvu bali ni mkusanyiko wa kukatwa kidogo kidogo hadi mti unafikia hatua unakuwa umeanguka. Yale mambo makubwa unayotaka kuyafanya kwenye maisha yako unaweza kuyatimiza tu endapo utaamua kuanza kwa hatua ndogo ndogo. Angalia ni kitu gani kidogo tu ambacho unaweza kufanya na kisha ukifanye. Usikae na kusema sina […]

KONA YA BIASHARA: Ukipoteza Hii Inakuja Nyingine.

Kuna nyakati kwenye Maisha unaweza kujiona umepoteza vitu vikubwa sana na ukaanza kuona kama Maisha hayana maana tena. Unachopaswa kutambua ni kwamba kila kinapoondoka kitu basi kuna kitu kingine kipya kinatokea. Mti unapokauka unakuwa umetoa nafasi kwa miti mingine mingi midogo kukua vizuri. Chochote kinachoondoka kwenye Maisha yako kinatengeneza nafasi iliyowazi kwa ajili ya vitu […]

KINACHOWATOFAUTISHA MATAJIRI NA MASKINI NI HIKI.

Ili uweze kutoka hapo ulipo sasa na kufika sehemu nyingine walipo watu wenye mafanikio makubwa ni muhimu sana kujua ni kitu gani kinawafanya muwe tofauti. Ni kitu gani kinawatenganisha na kuwafanya muitwe majina tofauti. Kitu cha ajabu ni kwamba wote tulizaliwa tukiwa na usawa, yaani kuanzia uwezo wa kufikiri, mazingira, na hata wakati mwingine upatikanaji […]

Sifa 5 za Mtu Anaelekea Kwenye Mafanikio Makubwa.

Habari za Leo Rafiki na Mwanamafanikio mwenzangu. Ni matumaini yangu kwamba unaendelea vyema na afya pamoja na safari hii ya mafanikio. Siku zote napenda kukwambia kamwe usikate tamaa. Haijalishi ni magumu kiasi gani unapitia sasa. Ipo siku Matokeo ya unachokifanya yatakuja kuonekana. Leo tujifunze juu ya Sifa tano ambazo zinaonyesha mtu huyu anaelekea Kwenye Mafanikio […]

#USIISHIE_NJIANI: TAFUTA UTAMBULISHO WAKO.

Habari rafiki, Umeanzaje siku yako? Umefanya mazoezi? Umesoma kitabu? Kitu gani kinakutambulisha hapa duniani? Kama mpaka sasa unashindwa kujibu swali hili unahitaji msaada wa karibu sana. Kama binadamu unatakiwa uwe na kitu ambacho ni utambulisho wako wewe binafsi kwenye dunia hii. Utambulisho wako ni kile kitu ulichoamua kukifanya hapa duniani hadi unakufa. Unamkumbuka msaani wa […]

MAMBO 5 YA MUHIMU ILI UWEZE KUFIKIA NDOTO ZAKO.

Habari za leo ndugu msomaji wa mtandao huu ni matumaini yangu kwamba unaendelea vyema na kupambana katika kutimiza ndoto zako. Leo ninakwenda kukupa njia mambo ya muhimu sana ili wewe uweze kuzifikia ndoto zako na maono yako.   Jua kusudi lako Tunajua kabisa ili uweze kuishi maisha yenye furaha na utimilifu kwanza ni kulijua kusudi lako. […]