Siku moja nilikutana na kijana mmoja anaitwa Baraka ambaye alikuwa na changamoto ya kukatiwa tamaa yaani kuchokwa na watu wa karibu yake kama wazazi, mpenzi wake na kadhalika. Baraka alinieleza kuwa ilifika mahali akasema sasa afanye nini tena maana kila ...
Habari Rafiki, leo tena tunakutana kwenye Makala yetu ya MBINU ZA MAFANIKIO. Tunaangalia mambo ambayo yamekuwa ni sababu ya watu wengi kukwama kimaisha. Ninaposema kukwama namaanisha vile mtu anakuwa kwenye hali moja kwa muda mrefu. Pata Kitabu: SIRI 7 ZA ...
Habari rafiki, leo kwenye ujasiriamali tunakwenda kujifunza juu ya kanuni 10 ambazo unapaswa kuzijua wewe mjasiriamali. Ni imani yangu kwa kupitia makala hii utatoka na mwangaza kwenye kile unachokifanya. Kila mmoja anamtegemea mwenzake, kwa kupitia unachokifanya kuna watu wamerahisishiwa maisha ...
Habari za Leo ni matumaini yangu u mzima na unaendelea vyema. Leo tuanajifunza nguzo 10 za mafanikio yako. Ukiweza kuzisimamia nguzo hizi lazima utaona mabadiliko na kusonga mbele kuelekea kwenye ndoto zako. Karibu tujifunze pamoja mpaka mwisho. Jua kusudi la ...