HATUA YA 342: Unaemngoja Anakungoja Wewe.

Inawezekana kuna mtu unamngoja aje afanye jambo kwenye Maisha yako ili yabadilike. Inawezekana kwenye akili yako unasubiri ipo siku mambo yatakaa sawa na kuwa marahisi Zaidi ya sasa. Inawezekana pia kuna muujiza Fulani unautegemea kwenye akili yako utokee ndio kila kitu kibadilike kwenye Maisha yako. Napenda kukwambia Rafiki huyo unaemngoja afanye yote hayo anakusubiri wewe […]

HII NDIO NJIA YA PEKEE YA KUISHI MILELE.

Kungekuwa hakunaga kufa kwa namna ninavyoona wanadamu hasa wa Africa wangekuwa wavivu sana kuliko viumbe wengine wote. Nadhani kungekuwa hakuna ambaye anajishughulisha sana kwasababu hakuna kinachomfanya afikirie mbali. Kifo kipo ili kuongeza thamani ya uhai wa mtu. Kama kungekuwa hakuna kifo thamani ya uhai ingekuwa ni ndogo sana. Wandamu wangekuwa hawajali sana kama ambavyo sasa […]

MAMBO 5 YANAYOKWAMISHA WATU WENGI.

Habari Rafiki, leo tena tunakutana kwenye Makala yetu ya MBINU ZA MAFANIKIO. Tunaangalia mambo ambayo yamekuwa ni sababu ya watu wengi kukwama kimaisha. Ninaposema kukwama namaanisha vile mtu anakuwa kwenye hali moja kwa muda mrefu. Pata Kitabu: SIRI 7 ZA KUWA HAI LEO Kama ni kazi anafanya basi anakuwa hana mabadiliko yeyote ya nje au […]

Aina 4 za Watu Katika Safari Ya Mafanikio.

Habari Rafiki, leo kwenye mbinu za mafanikio tunakwenda kuwaona watu aina nne tulionao katika safari ya mafanikio. Ni kweli watu wengi wamekuwa wanatamani sana kufikia mafanikio. Ni kweli watu wengi wamekuwa wanahamasika sana wakiona wengine wamepiga Hatua Fulani kwenye Maisha. Lakini tunatofautiana sana katika hao wengi kwenye mchakato wa kufikia mafanikio. Katika watu wengi waliofikia […]

HATUA YA 329: Ni Majukumu Yako, Hakuna Haja ya Kuwatangazia watu.

Mtoto mdogo anapofanya jambo la tofauti na alilozoea kufanya na akafanikiwa mara nyingi hupenda kwenda kwa mzazi wake na kumwonyesha huku amejawa na furaha sana. Inaweza kuwa ni mtihani shuleni au majukumu aliyopewa kutekeleza. Lakini tukija kwenye uhalisia kufaulu mtihani shuleni kwa mtoto ndio jukumu lake hasa. Anakwenda shuleni kusoma na kujifunza ili afaulu. Tunapokuja […]

MAMBO 6 YANAYOIBA FURAHA YAKO.

Jiunge na Mtandao Huu Uwe Unapokea makala nzuri kama hii moja kwa moja kwenye email yako Weka email Yako hapa Habari Rafiki, natumaini unaendelea vyema na kupambana ili Ndoto yako itimie. Usikubali kabisa kuishia njiani, wako wengi wanakutazama na watakuja kunufaika sana na hicho unachokifanya. Leo tunajifunza mambo sita ambayo yamekuwa yanaiba furaha yako bila […]

Sababu kumi za kwanini unahitaji watu ili kufanikiwa maishani

Umeshawahi kuangalia mashindano yoyote? Au sherehe za ugawaji wa tunzo?/ Bai kama umewahi kuangalia kuna kitu ambacho kinajirudia kwa watu wote wanaoshinda. Huwa wanatoa insha ndefu na kutaja majina ya watu waliowasaidia kufika hapo walipo, na wakati mwingine huwa wakilia kwa furaha ya jinsi hao watu walivyohusika katika ushindi wao wa hiyo tunzo au hayo […]

HATUA YA 325: Ukisikia Biashara Inalipa Sana…

Imekuwa ni kawaida sana kusikia watu wanasema biashara fulani inalipa sana au fursa Fulani ukifanya lazima utoke. Ndio inawezekana ni kweli ukifanya utatoka, mfano ni msimu ambao mahindi ya kuchoma yanahitajika sana mjini halafu hayapo. Ukiingia kwenye hiyo fursa na ukaweza kuyapata mahindi kwa bei rahisi ukaja kuyauza kwa bei ghali unajikuta umepata pesa ya […]

HATUA YA 324: Hakuna Anaejali, Kuliko Unavyotakiwa Kujali.

Ulishawahi kufanya jambo halafu matarajio yako yalikuwa ni watu wakuzungumzie au wakujali sana lakini ukaja kukuta hakuna hata anaehangaika na wewe? Hii inatokana na pale unapofanya jambo ili uonekane au usifiwe na mwisho wa siku unakuja kugundua kwamba wale ambao unawafanyia wala hawakufikirii. Usije ukapoteza muda wako kufanya vitu ili upate sifa Fulani, au uonekane […]

#HEKIMA YA LEO: Kubali kufundishwa

Ukijifanya unajua, unakuwa mpumbavu. Maana kujifunza ni kama pumzi ukishavuta lazima utoe iliyochafuka kisha uvute tena. Ukikubali kuwa mwanafunzi ndio utaona sehemu nyingi ulizokuwa unakosea. Pia Utagundua kwamba bado kuna mambo mengi hujui. Ukikubali kufundishwa unatakiwa ukubali pia kukosolewa. Unapokuwa na Mwalimu wako akakwambia hapo umefanya vibaya kubali usichukie ili uweze kujifunza zaidi. Wanadamu tunapenda […]