HATUA YA 323: Hii Ndio Sababu ya Wengi Kukosa furaha na Kutotosheka.

Kama kila kiumbe hai kitaweza kufuata vile kilivyotakiwa kuishi kila kiumbe kitatosheka. Mwanadamu ndie kiumbe ambaye anaongoza kwa kutokutosheka hapa duniani.  Kutokutosheka ni kile kitendo cha mtu kuacha kutazama vile ambavyo tayari amebarikiwa na kuangalia Zaidi vile ambavyo yeye hana ila wengine wanavyo. Usiache kutembelea Hapa Ujipatie Vitabu Bora vya Mafanikio na Biashara https://jacobmushi.com/patavitabu/ Kama umewahi […]

#HEKIMA YA LEO: Tafuta Kawaida Nyingine Kila Wakati.

Bonyeza hapa upate offa ya Vitabu Bora Mwezi April. https://jacobmushi.com/offa-offa-offa-ya-vitabu-bora-mwezi-april/ Tafuta kawaida nyingine kabla hiyo uliyoipata hujaizoea. Mwanzoni unaweza kuona kuna ugumu wa kutimiza jambo Fulani lakini ukishalitimiza unaanza kugundua kumbe ilikuwa ni hivi. Mtoto anapoweza kutambaa hatakiwi kubakia kwenye kutambaa yaani akishazoea tu kutambaa basi anatakiwa aanze kujifunza kusimama na kisha kutembea na kukimbia […]

BARUA YA WAZI KWA WOTE WANAOISHI BILA YA MZAZI MMOJA AU WOTE.

Habari Rafiki yangu, leo tena nimeandika barua hii maalumu kwa watu wote wasio na wazazi na pia wenye mzazi mmoja. Ni kwa ajili ya kukutia moyo ili uweze kusonga mbele na kutimiza Ndoto yako. Unaweza kutuma Makala hii kwa Rafiki yako ambaye unafikiri akiisoma itamtia moyo na ataweza kusonga mbele. Kwa waliopoteza wazazi kwasababu mbalimbali, […]

HATUA YA 311: Mtazamo wa Kuwa Juu Wengine Chini.

Huwezi kuishi kwa furaha na Amani duniani kama una mtazamo wa kuwakandamiza wengine ili wewe uonekane upo juu. Kuna mtazamo ambao wengi wanao na wamekuwa wakiamini kwamba ili uwe juu lazima wengine wawe chini. Ili uwe Tajiri lazima wengine wawe maskini, ili uwe na nguvu lazima wengine wawe dhaifu, ili uwe na umaarufu lazima wengine […]

#HEKIMA YA JIONI: Shuka Chini.

Kuna nyakati ukitaka kupanda juu Zaidi ya wengine lazima ukubali kushuka chini. Unakubali kuonekana mtumwa kwa siku chache ili uweze kupata yale ambayo yatafanya Maisha yako ya badae yabadilike kabisa.  Kushuka chini na kunyenyekea haimaniishi ufanye mambo ya hovyo ambayo yanaondoa utu wako bali ni ukubali kufanya mambo halali haijalishi yanaonekana ni ya hadhi ya […]

HATUA YA 304: Usipoacha Tabia Hii..

  Wakati unaendelea kulalamika na kutoa sababu nyingi za kujitetea kwa hali uliyonayo sasa hivi: Bado una muda mwingi wa kutumia simu yako kuperuzi kila kinachoendelea mitandaoni. Bado una muda wa kutazama tamthilia ndefu kwa masaa kadhaa. Bado una muda wa kukaa sehemu na ukapoteza muda ukiwasema watu na serikali jinsi ambavyo haijakufanyia vizuri. Bado […]

KANUNI 10 ZA MAFANIKIO ANAZOPASWA KUZIJUA MJASIRIAMALI.

Habari rafiki, leo kwenye ujasiriamali tunakwenda kujifunza juu ya kanuni 10 ambazo unapaswa kuzijua wewe mjasiriamali. Ni imani yangu kwa kupitia makala hii utatoka na mwangaza kwenye kile unachokifanya. Kila mmoja anamtegemea mwenzake, kwa kupitia unachokifanya kuna watu wamerahisishiwa maisha yao. Wewe pia kuna watu wengi sana wanahusika kukufanya wewe uishi kwa urahisi. Ni muhimu […]

HATUA YA 302: Jinsi Unavyopoteza Nguvu Zako Bila Ya Wewe Kujua.

Katika Maisha kuna mambo mengi sana tunafanya kila siku mengine ni kutokana na mazoea yetu na mengine ni yale ambayo tunapanga kufanya. Katika mambo ambayo yanaweza kuwa na athari kubwa kwenye Maisha yako ni yale ambayo umekuwa na mazoea ya kuyafanya. Kutokana na mambo ambayo umezoea kuyafanya kuna ambayo yanaweza kuwa na faida kwako na […]

#HEKIMA YA JIONI:  Jifunze kwa Mwindaji Na Mfugaji.

Maisha ya mwindaji na mfugaji yanaweza kuwa mfano mzuri sana kwenye Maisha yetu ya kila siku na kama tutaweza kuwatazama vizuri watu hawa tunaweza kujua tupo upande upi. Mwindaji. Mtu wa aina hii siku zote anatumia nguvu Zaidi katika matendo yake. Ili aweze kuwinda lazima atumie nguvu zake. Mtu wa aina hii anawaza Zaidi kula […]

HATUA YA 301: Ukiweza Kuvumilia hiki Lazima Utimize Ndoto yako.

“If you don’t quit, and don’t cheat, and don’t run home when trouble arrives, you can only win.” – Shelley Long Zinapofika nyakati za matatizo kama uispoacha, usipofanya udanganyifu na wala usipokimbia kurudi kule ulipopazoea ni lazima ushinde. – Shelley Long Hakuna hata sehemu moja umeona mtu ameacha kupambana au kufanya kile anachokifanya kwasababu kinamletea […]