Tag Archives: maisha ya furaha

511; Unakimbilia Wapi? Tazama Pembeni Yako.

 Haya Ndio Maisha yetu kwenye vitu vingi tunavyopitia kila siku, Soma kisa hiki ujifunze: “Habari kaka Jacob, ninaomba ushauri wako kuhusu hili. Ni mwaka wa tatu sasa tangu nikutane na binti mmoja na nikampenda sana. Nina tabia moja huwa sikati tamaa haswa pale ninapokuwa nimekipenda kitu Fulani maishani mwangu. Nimekuwa naamini kwamba ipo siku tu… Read More »

JINSI YA KUEPUKA MADENI MABAYA NA KUFIKIA UHURU WA KIFEDHA

SEMINA JANUARY 2017 SIKU YA KWANZA JINSI YA KUEPUKA MADENI MABAYA Haijalishi upo kwenye madeni makubwa kiasi gani bado una nafasi ya kutoka na kuanza safari ya kuelekea kwenye uhuru wa kifedha. Ili upate mabadiliko kwenye Maisha yako sio mpaka ufundishwe na mtu aliefanikiwa sana. Unachotakiwa wewe ni kuchukua mafundisho yaliyo sahihi na kuyafanyia kazi… Read More »

Nguzo 10 za Mafanikio

Habari za Leo ni matumaini yangu u mzima na unaendelea vyema. Leo tuanajifunza nguzo 10 za mafanikio yako. Ukiweza kuzisimamia nguzo hizi lazima utaona mabadiliko na kusonga mbele kuelekea kwenye ndoto zako. Karibu tujifunze pamoja mpaka mwisho. Jua kusudi la kuzaliwa kwako. Nguzo ya kwanza na ya muhimu sana ni wewe kutambua kwanini ulizaliwa. Upo… Read More »

MAMBO 5 YA MUHIMU ILI UWEZE KUFIKIA NDOTO ZAKO.

Habari za leo ndugu msomaji wa mtandao huu ni matumaini yangu kwamba unaendelea vyema na kupambana katika kutimiza ndoto zako. Leo ninakwenda kukupa njia mambo ya muhimu sana ili wewe uweze kuzifikia ndoto zako na maono yako.   Jua kusudi lako Tunajua kabisa ili uweze kuishi maisha yenye furaha na utimilifu kwanza ni kulijua kusudi lako.… Read More »