HATUA YA 390: Kumbuka Kitu Hiki Pale Wengine Wanapokukatia Tamaa.

Siku moja nilikutana na kijana mmoja anaitwa Baraka ambaye alikuwa na changamoto ya kukatiwa tamaa yaani kuchokwa na watu wa karibu yake kama wazazi, mpenzi wake na kadhalika. Baraka alinieleza kuwa ilifika mahali akasema sasa afanye nini tena maana kila anachokifanya wale waliomkatia tamaa wanakuwa wanaendelea kumkatisha tamaa. Ilifika mahali akiwaeleza wazo lolote jipya ambalo […]