JINSI YA KUANDIKA MALENGO YAKO NA KUANZA KUYATIMIZA KIRAHISI ZAIDI.

Habari za Leo. Ni furaha yangu kuwepo pamoja na ninyi hapa siku ya leo. Kabla hata hujaweka malengo yako ya mwaka huu jiulize maswali haya ya muhimu. Umeshajua kwanini Upo duniani? Una Maono gani juu ya hilo lililokuleta hapa duniani? Ukishapata majibu ya maswali hayo mawili tunaweza kuendelea kujifunza kwenye somo letu la kuweka malengo. […]