HATUA YA 311: Mtazamo wa Kuwa Juu Wengine Chini.

Huwezi kuishi kwa furaha na Amani duniani kama una mtazamo wa kuwakandamiza wengine ili wewe uonekane upo juu. Kuna mtazamo ambao wengi wanao na wamekuwa wakiamini kwamba ili uwe juu lazima wengine wawe chini. Ili uwe Tajiri lazima wengine wawe maskini, ili uwe na nguvu lazima wengine wawe dhaifu, ili uwe na umaarufu lazima wengine […]

#HEKIMA YA JIONI: Mtazamo Wako ndio Unaamua Ugumu au Urahisi wa Kitu.

Mtazamo ni vile ambavyo mtu amejengewa au amejijengea maana fulani au imani fulani juu ya jambo fulani. Mtazamo waweza kutengenezwa kutokana na mazingira unayoishi vitu unavyosoma, kutazama na kufuatilia. Mtazamo pia unaweza kutengenezwa na aina ya watu unaojihusisha nao kila siku. Mfano unakaa na watu ambao wanasema hawawezi kuuza bidhaa kwa kumfata mtu na kunwelezea […]