Tag Archives: mwelekeo

#USIISHIE_NJIANI.: Focus & Concentration

Habari rafiki, Umeanzaje siku yako? Umeshajifunza kitu chochote leo? Umefanya mazoezi? Umesoma kitabu? Mambo madogo madogo tunayofanya kila siku ndio yanatuletea ushindi mkubwa. Hivyo ni muhimu sana unapoyafanya uyafanye kwa umakini na ubora wa hali ya juu. Ili usiishie njia unaweza kutumia mbinu ya kukomaa kwenye jambo uliloamua kilifanya hadi upate matokeo au ufikie mwisho. … Read More »