JINSI YA KUJUA KAMA UNAELEKEA KWENYE NDOTO YAKO AU UMESHAPOTEA NJIA.

Habari Rafiki, Leo ni siku nyingine tena ambayo tumepewa kama zawadi kwa ajili ya kwenda kuyafanya Maisha yetu yawe bora Zaidi. Jisemeshe Maneno Haya Kabla Hujatoka Kwenda kufanya Chochote. “NACHUKUA HATUA, NAJIFUNZA, NAWEKA JUHUDI NA BIDII, NAVUMILIA. MAFANIKIO NI HAKI YANGU, EEH MUNGU NIWEZESHE.” Pamoja na kwamba wengi tumekuwa na maono makubwa na ndoto kubwa […]

#HEKIMA YA JIONI: Aina Mbili Za Wakatishaji Tamaa.

Unapokuwa na Ndoto kubwa na shauku ya kwenda kuitimiza kuna watu wengi sana wanaweza kujitokeza kwenye Maisha yako kama washauri na wenye maoni yao juu ya kile unachotaka kufanya. Watu hawa wanaweza kuwa marafiki wa karibu na ndugu zako wa damu kabisa. Wote hawa wanaweza kutoa maoni yao juu ya kile unachokifanya kwa namna mbalimbali. […]