520; HEKIMA: Kwanini Wengine Wanashinda?

Ni kwasababu wameamua kulipa gharama, Ni Kwasababu wameamua kujitoa kwa kila namna, Ni kwasababu wameamua na wapo tayari kukabiliana na changamoto zozote zitakazojitokeza. Ni kwasababu wamebadili mitazamo yao kutoka vile walivyokuwa mwanzo na sasa wana mitazamo kama wale waliofika mbali zaidi. Ni ukweli huo rafiki kama haupo tayari kulipa gharama huwezi kupata kile unachokitaka. Kama […]

519; #HEKIMA Hii ndio Sababu ya Kupoteza Furaha.

“It isn’t what you have or who you are or where you are or what you are doing that makes you happy or unhappy. It is what you think about it.”― Dale Carnegie, How to Win Friends and Influence People Mwandishi Dale Carnegie anasema katika kitabu chake kwamba, SIO KILE ULICHONACHO AU VILE ULIVYO AU […]

HEKIMA 518; Usipokee wala Kutoa Ushauri Wowote.

Kulikuwa na Bwana Mmoja alikuwa anafanya biashara ambayo inamlazimu sana kuzungumza na watu kila wakati. Yaani ili auze lazima aongee na mtu. Sasa kwasababu hiyo akajikuta anashauriwa sana na watu wengi. Kila mtu anaekutana nae anajaribu kumwelekeza njia nzuri ya kuifanya biashara yake. Siku moja akatafuta mtu mwenye hekima ili amshauri juu ya ushauri anaopokea […]

517; Kupanga ni Rahisi, Kazi Kutekeleza.

Imekuwa ni kawaida sana kila Tunapouanza mwaka mpya kila mmoja hukimbizana na kupanga malengo ya mwaka mpya. Kuna wanaojua kupanga vizuri sana, kuna ambao hawajui hata kupanga wanaishia tu kusema, kuna wale wanapanga waandika lakini mwezi wa pili ukifika ukiwauliza waliandika wapi hawajui tena. Wewe binafsi unajijua upo kundi gani, yote hayo ni mazuri kabisa […]

516; Nimegundua Njia ya Kutatua Tatizo lako la Kutofikia Malengo Yako Ya Kifedha.

Habari Rafiki, unajua matatizo mengi uliyonayo yanasababishwa na ukosefu wa fedha za kutosha. Na kinachosababisha haya yatokee kwako ni wewe pale unapokosa vitu vichache sana vya kufanyia kazi. Leo nakwenda kukuonesha suluhisho la tatizo lako la kutokufikia malengo ya kifedha. Ni kweli inawezekana kabisa Januari yam waka 2021 ikawa njema Zaidi kwako kwasababu tu utaweza […]

512; Mimi Ni Mtenda Dhambi Kuliko Wewe.

Siku Moja nilikuwa nawaza hivi, “Siku Nikifa Nikakuta hakuna Mungu Nitacheka Sana”, Sauti nyingine ndani yako Ikasema, “Hapo Utakapokuwa Unachekea ni Nani Huyo Atakuwa Amekutengenezea” Ndugu Yangu Mungu Yupo, Ukatae Ukubali………………… Kuna ule mtazamo wa kuwaona watu ambao wamefanya mambo makubwa, na wale wenye ushawishi mkubwa sana kuwa hao ni watu wasio na makossa kabisa. […]

KITABU: NUKUU ZA MAISHA.

Nukuu za Maisha (Malengo, Mafanikio, Mahusiano n.k) ni Kitabu kinachokupa muongozo wa maneno ya kutafakari kila siku asubuhi ili uweze kuwa na siku bora na yenye mafanikio. Kitabu hiki kina nukuu 400+ ambazo zinakupa uwezo wa kufikiri vizuri, kuishi kwa furaha na kuweza kusonga mbele katika kile unachokifanya. Nukuu za Maisha ni mjumuisho wa nukuu […]